Sheikh Ponda aanza tena kuchafua hali ya hewa

Status
Not open for further replies.
Hivi nyie mnajua haki anazosema ponda za waislamu?
Baadhi ni hizi:
-bungeni kuwe 50% kwa 50% wakristo Vs waislamu
-Ajira za serikalini lazima ziwe 50 kwa 50 waislamu Vs wakristo
-yeye anadai haya yote yakishindikana basi nchi igawanywe katikati upande wa pwani wote wabaki waislamu na waislamu walioko bara wahamie huko na upande wa bara wabaki wakristo na wakristo walikoko pwani wahamie huko!

Yaani serikali iajiri mtu kisa dini yake???

Hivi mmejiuliza kwa nini awaambie tu waislamu ndo waandamane? Kwani inamaana serikali inawaonea tu waislamu?

Najua CHADEMA tunataka kumsupport kwa sababu amekaa against CCM(just because ana uhakika 2015 watasimamisha mkristo)
anaposema waislamu wapigane Jihad, anataka wapigane Jihad against whom?
CCM? Or Christians?
Huyu ana agenda zake za siri na mojawapo ni kutaka kuona 2015 rais ni muislamu over!

UDINI! UDINI! UDINI!
Mbaya sana!

We ni mwehu
 
Katika hali inayoonekana kama Serikali imemshindwa Sheikh Ponda mfungwa huyu wa kifungo cha nje yuko Zanzibar maeneo ya Nungwi na Mjini Magharibi akitoa mihadhara baada ya kushindwa kufanya hivyo huku Bara. Hali hii imewafadhaisha wanasiasa wa Zanzibar ambao wanataka kujua kwa nini Serikali ya Muungano imeshindwa kumshughulikia mtu huyu anayeendelea na Mihadhara ya kuchochea vurugu.
Ni kama amekwenda kuendelezea pale mkuu wa Uamsho alipoishia kabla ya kukamatwa.
Katibu mwenezi wa CCM zanzibar ametoa malalamiko yake kuiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungana kumdhibiti kwani anaeneza chuki za kidini
 
my problem is not with ponda toa facts kafanya hivi hivi na hivi kutokana na sheria za jamhuri ya muungano na kifung alichopewa kavunja(anatuhumiwa) hivi................!!kwa jinsi hyo ndo thread inajaa facts na wachangiaji wanakua wengi
 
Zanzibar wenyewe wanamtafuta kwa kuvunja amri ya mahakama pale alipofungwa kifungo cha nje na kutakiwa asifanye tena Mihadhara hadi kifungo kiishe. Huyu mzee ana matatizo gani?
 
Mwisho wa ponda hautakuwa mzuri anawatumiwa na wanasiasa kwa matakwa yao anaanza kutumia misikiti kwa manufaa yake.
 
tusimuhukumu ponda ila tuombe awe na afya njema.kuna watu wanaotoa kauli mbaya zaidi ya ponda ila wako mtaani
 
wapenda mageuzi na heshima ya jamii yetu tumsapoti ponda anachofanya si kwa maslahi yake bali kwa jamii nzima
 
Hii nchi ukianza kutaja uozo wa CCM basi wewe ni mchochezi, hivi CCM mnayofanya kuna asiyo yajua kweli?
au mnadhani mtatawala daima?
CUF chukua nchi hii utoe haki sawa kwa woteeeeeeeeeeeeeee

Umesema?





“Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa,” Mateo Qaresi.
 
............................
............................



"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi.
 
Kwa ccm watu kama Sheikh Ponda wanapoongea ukweli kwa kuwaeleza wananchi haki zao za msingi wanaonekana wachochezi lakini watu kama Lipumba wanapotumia misikiti hiyo hiyo kueneza chuki dhidi ya wale wenye imani tofauti na dini yao kwa ccm wanaonekana wema ilhal wanahatarisha amani ya nchi.

Aibu kwenu ccm na watawala wake, yatakapowafika mtayanywa kwa shuruti pasipo ridhaa yenu
 
Nyie kina nani?? Jizoeshe kuusemea moyo wako, achana na nafsi ya tatu

moronic thinking
Waislam tunaojitambua.

Tatizo lako hauna matusi mapya toka 2006 matusi haya haya, Bavicha bana.
 
Ndugu wana JF nimesoma magazeti ya leo yameripoti habari ya huyu Sheikh Ponda Issa Ponda kuchochea fujo na uvunjifu wa amani kule Zanzibar. Je kwanini asifungwa hata miaka 20 kwa manufaa ya umma??
Hayo ni maoni yangu. I am stand to be corrected

source magazeti ya leo; Habari leo, Mwananchi , Tanzania daima n.k.

cheer
halihali
 
Kwani kazungumza nini? Isije ikawa anagombana na CCM tu halafu mnatafuta sababu ya kumfunga. Tupeni undani wa issue.
 
Sheikh Ponda alisha sema wazi kuwa yeye hata akifanya jambo gani hawezi kufungwa, sanasana watampumzisha tu lupango kwani yeye ana nguvu ya ushawishi, na hao watu wake watiifu akifungwa watafanya nchi isitawalike.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom