Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Imebidi nicheke tuuuu,Kuna mtu anawasema freemanson wakati kiunoni kwake ana hirizi na chale hadi makalioni
Hilo nalo neeeeeno.
Imebidi nicheke tuuuu,Kuna mtu anawasema freemanson wakati kiunoni kwake ana hirizi na chale hadi makalioni
Unaelewa makosa uliyoyafanya kwa makusudi, rudi katubu. Unafki ulioonesha leo nimekusamehe bure tu.
Awekwe popote ni kuficha tu Dhamira ya mtu mbele ya macho ya umma, lakini nafsi ndiyo yenye jibu.
Eeeh unakuta anakuambia fulani freemanson kisa kaendelea lakini yeye haachi kuvunja nazi njia panda na kulala makaburini anajiona yuko perfectImebidi nicheke tuuuu,
Hilo nalo neeeeeno.
Stori za vijiweni zimekuathiri vibaya mkuu. Tafuta muda uingie maktaba uka-brashi huo ubongo.WEWE UNAWEZA KANUSHA KAULI ZANGU?
KAMA UNAWEZA NILETEE HAPA MISINGI YA IMANI YAO AU YENU NA KILE WANACHOAMINI/MNACHOAMINI.
Kwahiyo unataka kusema ndivyo vitabu visemavyo? Mbona huelewi kitu wewe? Huenda nawe ni muumini wa jamii hiyo unayejifichia koti la uislam nisikulazimishe.
Swadaktaaaaaa, Mungu ndio anajua zaidi.Eeeh unakuta anakuambia fulani freemanson kisa kaendelea lakini yeye haachi kuvunja nazi njia panda na kulala makaburini anajiona yuko perfect
Mungu ndio anatujua nafsi zetu !!
Unamuombea peke yako kakaUkiweka U-freemason mbeni , Sir Andy Chande alikuwa Binadamu hivyo yatupasa kumuuombea...
Mbona mkuu wa nchi anatufanyia vitu vya ajabu na Tunamuombea...
Lkn vipi, kwa "ndugu muislam, ambaye jirani yake, ni sir Andy Chande?"...unadhani hata yeye hastahiki shiriki shughuli ya " mazishi ya JIRANI yake?"Mkuu, ni bora haya ya mkrito maana tunaabudu Mungu moja. Hata injili imetambuliwa katika Qur-an.
njiakwani dini ni nini?
Yupo pale kwa kazi za Oysterbay ndio kazi gani? Please Nisaidie apoHuyo sheikh hayuko hapo kwa usheikh..yupo pale kwa kazi za Oysterbay
Utamuombea kwa nani sasa?Maana huyo tunayemuamini alimkana.Ukiweka U-freemason mbeni , Sir Andy Chande alikuwa Binadamu hivyo yatupasa kumuuombea...
Mbona mkuu wa nchi anatufanyia vitu vya ajabu na Tunamuombea...
ni nini basi maana inahusika na mambo ya imani na ni iman ipi hiyo mkuu?Freemasonry sio dini..Acheni kupotoka
haha tatizo si kuelewa ni kueleweshwa ili uelewe si kufichaficha mambo sana sasa mnataka watu wasemeje jaman?Aliyekwambia Freemason wanaamini nguvu za shetani amekudanganya......tatizo hampendi kujishughulisha kuelewa mambo
mkuu swali zuri sana na kwa kuongezea tu ni kwamba kama kila mtu anatakiwa kuwa na iman yake na hiyo iman wanamwamin Mungu wa mbingun how come as a society moja mnakutana halafu mnasema mnamwamin mungu ni yupi huyo ktk iman hiyo?why mueke mambo ya iman wakat kila mmoja ana yake?na sacrifice ni za aina gan?tutashukuru ukifunguka mkuu na kuondoa hii confusion.HIKI ULICHOKIELEZA WATU WENGI TUNAKIFAHAM, NA NDIYO MAANA MZEE CHANDE STILL ALIKUWA ANAINGIA MSIKITINI.
SUALA HAPA MISINGI YAO NI NINI. WANAAMINI KTK NINI.
WANAPOTOA KAFARA WANAFUATA MISINGI YA NANI.
NA WANAPOSWALI WAKATI MWINGINE WAKIWA BILA NGUO HIYO NI MISINGI YA NANI?
KWANI TAFSIRI YA NENO DINI NI NINI?
hahahahahha...aliyekwambia wanatoa kafara ni nani? una ushahidi huo?
Aliyekwambia wanasali wakiwa uchi ni nani ? una ushahidi huo?
Tatizo lenu mnabeba stori za mitaani na kudhani ndio uhalisia...Poleni
Rafiki yangu...bado tuna tatizo ktk kujisomea na kupata ujumbe...hakika kwa aliesoma na kupata ujumbe wa elmu, hakuna kubagua!Hii mada ni fitna tu ya kuwatenganisha Waislam.
Waislam tuwe makini katika mada kama hizi. Zinatutengenisha.
Tuungane wote na kuona kuwa Sheikh Hadi hana kosa alilolifanya.