titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,565
- 9,806
Bakwata iliasisiwa na Nyerere baada ya kuifanyia figisu na kuiua iliokuwa jumuia ya waislamu afrika mashariki EWMS na kumfukuza nchini sheikh Hassab bin Ameir ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi.kwa kifupi bakwata ni baraza la serikali linaloshuhulikia masuala ya waislamu.Ndio maana chaguzi za BAKWATA husimamiwa na Usalama wa Taifa.hujiulizi kwanini BAKWATA wanaushirikiano mkubwa na serikali hata kwenye mambo ambayo serikali inaudidimiza uislamu na huwa inasapoti kila linalofanywa na serikali.Na kwenye event yoyote ya serikali hawakosekani ilhali hawana juhudi zozote za kusaidia kuundeleza uislamu.shule zao ndo zinaongoza kwa kufelisha,wameuza mali na vitegauchumi kibao walivyokabidhiwa baada ya kupokwa EMWS.Kwaufupi bakwata ni jipu.Wana nini kwani wakati wao ndio masheikh wa ukweli
Shura ya maimamu ndio tegemeo la waislamu kwa sasa.