Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

Sheikh Mkuu Dsm aibua utata Freemason

Mpaka sasa hatujui nani yupo sahihi,Ila Binadamu hawezi kuwa hakimu wa Binadamu mwenzako mpaka kwenye mambo ya Imani mpaka utaingia kaburini hakimu mkuu wa yote ni Muumba mwenyewe! Tusihukumiane.....Kumwona binadamu mwenzio ana makosa mengi kuliko wewe sijui Hiyo hesabu kakupa nani?
 
Dini ni njia tu ya kwenda kwa mungu wetu, ila matendo yetu ndiyo yatatupeleka mbiguni na sio dini zetu,

na kwa matendo yetu yapo yanayoonekana na yasiyoonekana kwa machoni kwa watu, ila mungu anayaona yoote. tusije shangaa siku ya milele masheikh na mapadre wetu wakienda kuchomwa moto wa milele na wengine tuliokuwa tunawaona wanamuasa mungu wakienda kuona ufalme wa mungu.

kwa kifupi tuzidishe kufanya mema na tuache maovu bila kujali dini zetu.
 
kwa kiasi ninachojua ili kujiunga na hii jumuiya lazima uwe mfuasi wa dini yoyote ni moja ya vigezo. kumbukeni hii sio dini ni society
 
Aliyekwambia Freemason wanaamini nguvu za shetani amekudanganya......tatizo hampendi kujishughulisha kuelewa mambo
Asiyeelewa freemasonry na mission yake ni nani mbona wapo wazi tu angalau tu uwe na uelewa wa lugha ya English ambapo articles nyingi zimeilezea freemasonry kwa undani na masons wenyewe
 
Wana nini kwani wakati wao ndio masheikh wa ukweli
Hebu tumuache shekhe musa maana anacho amini au kuabudu ni vitu viwili tofauti ingawa kimoja kinamtegemea mwingine ....sasa chamsingi tujiulize kwanini kila sherehe inayoashiria kuwa ya Freemason.... Tanzania au hata alipokuwa hai chande Mara nyingi Mkapa alikuwa anashiriki kikamilifu....hapo ndipo tujadili Mkapa ni freemason na anacheo gani sasa?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Freemasonry sio dini...Kila mtu ndani ya Freemason ana ruhusa ya kuwa na dini yake anayoamini yeye..ila Wote kwa pamoja katika masonry kuna imani ya kuwa kuna Mungu mmoja na watu mbalimbali wanatumia namna anuwai kuelezea jinsi gani wanamfahamu Mungu...Kiufupi ni Brotherhood inayoamini katika "Supreme Being" in other words "God"
HIKI ULICHOKIELEZA WATU WENGI TUNAKIFAHAM, NA NDIYO MAANA MZEE CHANDE STILL ALIKUWA ANAINGIA MSIKITINI.
SUALA HAPA MISINGI YAO NI NINI. WANAAMINI KTK NINI.
WANAPOTOA KAFARA WANAFUATA MISINGI YA NANI.
NA WANAPOSWALI WAKATI MWINGINE WAKIWA BILA NGUO HIYO NI MISINGI YA NANI?

KWANI TAFSIRI YA NENO DINI NI NINI?
 
Hebu tumuache shekhe musa maana anacho amini au kuabudu ni vitu viwili tofauti ingawa kimoja kinamtegemea mwingine ....sasa chamsingi tujiulize kwanini kila sherehe inayoashiria kuwa ya Freemason.... Tanzania au hata alipokuwa hai chande Mara nyingi Mkapa alikuwa anashiriki kikamilifu....hapo ndipo tujadili Mkapa ni freemason na anacheo gani sasa?

Daah achana nae Mkuu usimjadili muache apumzike amefanya mengi akiwa Rais katika kuendeleza nchi yetu, otherwise muache mzee wa Lushoto apumue kwa raha zake ni mzee sasa jamani
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ninaamini ni jukumu la wazazi kuwafundisha watoto maadili ya dini na ninauhakika wazazi wa Sir Andy Chande walimfundisha mtoto wao yale waliyoamini. Uamuzi wake alioufanya ninaona alikuwa huru kama binadamu kuchagua dini ya kuabudu pia alisimama imara katika kile alichoamini. Apumzike kwa amani.
Dada yangu nimekuwa mfuatiliaji wa comment zako niseme tu ukweli Busara imesheheni kichwani mwako
 
Toka hawa jamaa wamuombee dua Bashite kakaa chini wao wamesimama na maviatu yake nilishamfuta huyu sheikh
 
  • Thanks
Reactions: SDG
HIKI ULICHOKIELEZA WATU WENGI TUNAKIFAHAM, NA NDIYO MAANA MZEE CHANDE STILL ALIKUWA ANAINGIA MSIKITINI.
SUALA HAPA MISINGI YAO NI NINI. WANAAMINI KTK NINI.
WANAPOTOA KAFARA WANAFUATA MISINGI YA NANI.
NA WANAPOSWALI WAKATI MWINGINE WAKIWA BILA NGUO HIYO NI MISINGI YA NANI?

KWANI TAFSIRI YA NENO DINI NI NINI?

hahahahahha...aliyekwambia wanatoa kafara ni nani? una ushahidi huo?

Aliyekwambia wanasali wakiwa uchi ni nani ? una ushahidi huo?

Tatizo lenu mnabeba stori za mitaani na kudhani ndio uhalisia...Poleni
 
Back
Top Bottom