Return2roots
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 874
- 438
Nahofia, "unahukumu" wenzio sasa...Bado na narudia kua unaleta unafki, moto mweusu tii unakuhusu mbele ya Allhah S.W.
Alhamdullillah
Nahofia, "unahukumu" wenzio sasa...Bado na narudia kua unaleta unafki, moto mweusu tii unakuhusu mbele ya Allhah S.W.
Rafikiangu, tuachane nae huyu ktk hili!Hahahaha, umekuwa na ujuzi wa "ghaib" ambao hata Mtume wetu, kipenzi chetu, Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam hakuwa nayo?
Jifunze kuandika vizuri.
Naona upo kwenye msako, kazanaDada yangu nimekuwa mfuatiliaji wa comment zako niseme tu ukweli Busara imesheheni kichwani mwako
HIVI KAMA UNAFAHAM UKWELI, WHY NOT YOU GIVE A BRIEF EVEN A LINK AMBAYO MTU ATAWEZA KUPATA HUO WEWE UNAOUITA UKWELI?Stori za vijiweni zimekuathiri vibaya mkuu. Tafuta muda uingie maktaba uka-brashi huo ubongo.
OkHeri nikajiunge huko niwaachie hata watoto wangu pesa nitakapokufa;
Mkiwaona wanaoandikisha wapeni jina langu.