kubalance mambo yapi? umuhimu wa kubalance ni upiRais asifanye uteuzi kwa kufuata imani ya mtu, lakini kwenye siasa kuna suala la ku-balance mambo. Siyo kila kitu kimenyooka.
kubalance mambo yapi? umuhimu wa kubalance ni upiRais asifanye uteuzi kwa kufuata imani ya mtu, lakini kwenye siasa kuna suala la ku-balance mambo. Siyo kila kitu kimenyooka.
pamoja na kujenga ofisi kuu ya bakwata na misikiti ya moroko,bado hajazigusa nafsi.
shida ya wananchi ni maisha bora,sio nyumba za ibada,hata nje tunaswali tu
Duh sheikh kapiga magogoni!
[emoji87] aiseeMleta mada akili zako inabid zikapimwe sasa huyo shekhe khalifa kakosea nin? Wakat idad inajionyesha kwamba waislam kiduchu sana kwenye teuzi
Wachache mnajielewa![emoji122] [emoji122] congratsKwa kweli mbali ya kua muislam, kuna haja ya waislam kuwasomesha watoto wao madrasa na pia shuleni wakasome elimu ya kawaida. La sivyo tutaishia kulalama na kuibua hoja zczo na mantiki. Unakuta watto wanaenda kusoma Qur'an kila siku badili ya kutenga mda wao pia kusoma elimu dunia. Sasa ukimuliza huyo sheikh mtto wake kasoma mpk wapi atakwambia kahifadhi juzuu.
zuu
Jifunze kuelewa kwanza... mada ni nyadhifa Serikalini wewe unazungumzia misaadaMfalme wa Morocco alipofanya ziara Tanzania Mh Dr Magufuli kawaombea waIslam wajengewe msikiti mkubwa lakini bado hawajatosheka.
Jifunze kuelewa kwanza... mada ni nyadhifa Serikalini wewe unazungumzia misaada
Mwalimu wako alikuwa na kazi kubwa sana
Hao CIA wamefanya lini hiyo sensa?! Tunarudi kule kule... let's say idadi ya Wakristo waliipata kutoka kwenye sensa inayofanywa makanisani; wapi walipata data kuhusu Waislamu na Wapagani? Au walikuwa wanategesha misikitini na kuhesabu wangapi wanaingia na kutoka misikitini?!Hizi takwimu ni za kitaalamu na sio za makanisani. Source: CIA World fact book.
Jambo la msingi ajitafakari kama kuna ukweli basi ajitahidi kubalance ili kuleta sura ya kitaifa zaidi
kubalance mambo yapi? umuhimu wa kubalance ni upi
Hata wangejengewa kila mmoja msikiti wake nyumbani, bado wangecomplain.Mfalme wa Morocco alipofanya ziara Tanzania Mh Dr Magufuli kawaombea waIslam wajengewe msikiti mkubwa lakini bado hawajatosheka.
Wewe nawe umetokea wapi?Mbona mnatusingizia hatujawahi kuwa na rais mkristo... Mkatoriki sawa... Mkristo ni yule aliyempokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wake (mitaani wanawaita WALOKOLE)
Hao CIA wamefanya lini hiyo sensa?! Tunarudi kule kule... let's say idadi ya Wakristo waliipata kutoka kwenye sensa inayofanywa makanisani; wapi walipata data kuhusu Waislamu na Wapagani? Au walikuwa wanategesha misikitini na kuhesabu wangapi wanaingia na kutoka misikitini?!
But anyway, CIA wanasema Christians ni 61% na Waislam ni 35%! Wakati huo huo The International Institute for Applied Systems Analysis (IIASA) wao wanasema:
View attachment 434038
Who're IIASA?! Hawa hapa: Is an international scientific institute that conducts research into the critical issues of global environmental, economic, technological, and social change that we face in the twenty-first century.
Hizo figure IIASA wamechukua CIA World Fact Book mwaka 2002:
View attachment 434041
Napenda mtu kama wewe unayependa mijadala na siyo kutukanana. Kwanza. Data zako si factual na hizo ulizonipa ninazijua lakini zinazungumzia kitu kingine kabisa sitaingia ndani.
Pili Data za 1967 SIZO hizo zinazotumika sasa zilizopo sasa ni UPDATED na facts. Na facts ni kwamba WAKRISTO ni WENGI Tanzania
METHODOLOGY yao waliyotumia ni ya kisayansi ikiwemo mambo MBALI MABALI na MENGI sana kufikia hapo {sic}
Unajua kuna data tunazoziita SKEWED data. Ambazo zinawekwa kwa ajili ya manufaa ya watu ama kikundi fulani. Lakini hizi nilizokupatia zina sapotiwa duniani kisayansi statistically.
Pew research nao ya mwaka 2010 ni hivyo hivyo.
Kama walikaa Misikitini ama makanisani siwezi kuingia ndani kuelezea utaalamu wao walioutumia.
Jambo moja TUNAKUBALIANA WAKRISTO ni
61.4%
kati yao Wakristo 51% wako affliated to Catholic Church.
Na WAISLAMU ni 35.2%
Hapo hakuna mjadala
Sisi waafrika tumeshidwa kuendelea kwa kuendekeza ujinga na uvivu wa kufikiri,ndiyo maana bwana yule wa taifa lile kubwa aliamua kututusi kadri njisi vile alivyoona inampendeza.Tumezaliwa tumewakuta wazazi wetu wakiishi maisha ya kuomba omba wakiongozwa na viongozi wao,sisi wenyewe bado tunaendelea kuomba omba ili tuishi na tule na watoto wetu wasome,tupate madawa hospital,tutakufa tukiomba na hata watoto wetu watakuwa ombaomba.Tualalamika hovyo hovyo sana huu ni upumbavu wa hali ya juu.Rais akiwa Muislam mnasema mdini akija mkristo ndio mnabinua midomo, ptyuuuuu