Mm ni CCM damu damu, nitasema haya bila unafikia..
Ukabila uko wazi sana serikalini sasa hv.. Mkuu wa nchi anachagua watu wa kanda ya ziwa ktk nafasi zote kubwa kwa wingi sana, liko wazi.. eg mawaziri, Naibu waziri, makatibu wakuu, Naibu katibu wakuu, wakuu wa mikoa, makatibu tawala, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, makuu wa taasisi, mamlaka na wakala mbali mbali, wengi ni kutoka kanda ya ziwa.. tena kwa asilimia kubwa sana..
Hili la ukabila naliona wazi wazi.. sikutegemea Magu afanye hivi aiseee.! mara nyingi alisema ktk kampeni akilaani ukabila, lkn ktk teuzi zake iko wazi kabisa, ni ukabila mtupu..
Sbb kila mtu anaona.. iko wazi.. hili la ukabila Mh. inabidi ajitafakari upya..
Kuhusu udini, sioni sanaa, sbb waislam wengi hawajasoma, sasa kazi zingine za profession huwezi chagua mtu tu sbb ya udini.. waislam wengi shule kidogo iko kushoto, but most are not intellectuals.. huwezi kupata ufanisi ikiwa sio mtaalam alafu upewe tu nafasi kwa kigezo cha dini.. hilo hapana kabisa