Azarel hii orodha inaishia hapa tu?[emoji814] Daah...HUWA NAJIULIZA HILI:
■ Awamu iliyopita,
[emoji666]RAIS= Muislam.
[emoji666]MAKAMU WA RAIS= Muislam
[emoji666]RAIS WA ZANZIBAR = Muislam
■ Awamu hii
[emoji666]RAIS= Mkristo
[emoji666]MAKAMU WA RAIS = Muislam
[emoji666]WAZIRI MKUU= Muislam
[emoji666] JAJI MKUU= Muislam
[emoji666] RAIS WA ZANZIBAR= Muislam
Sijui kama ingekuwa ni wakristo wameshikilia nafasi hizo ingekuaje kama sasahv lawama haziishi.
- Hata kwenye all 3 National pillars wangekuwa waislam wote bado kuna watu wangelaumu tu.
Weka orodha ya Mawaziri, wakurungezi, wenyeviti wa bodi, wakuu wa mashirika ya umma, weka orodha ya wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halamashauri. Mabalozi nk ili tuweze kupata picha kamili. Yawezekana sheikh ana hoja ya msingi.
Kitu kimoja kimenishangaza sana hapa JF. Wakati wa utawala wa Mkwere. Kila uteuzi ya dini ile ulihojiwa na haikuonekana ni udini wala uchochezi. Kwa nini sasa inaonekana ni tofauti?