Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mleta uzi ni Mchochezi zaidi ya Sheikh Khalifa.
Kwa takwimu alizoweka ameendelea kuyapa uzito madai ya Sheikh Khalifa
 
Nikakimbilia haraka nkidhani utasema; JPM aliahidi kuwa rais wa Watz wote, iweje leo anapendelea maccm?? Mbona hata wasio na chama walimpigia kula?? Kumbe ati lalamiko ni ileee dini yetu!! Pole sana. Mliipewa nchi, si mwajua mlichoifanyia?? Kila mtu akajilambia zake kana kwamba kufa kwaja
 
mtoa mada nafikiri upo sahihi na mwambieni rais wenu ajirekebishe japo ni sikio la kufa
 
Mawazo yako mazuri ila tu ya KINAFIKI, Kama unabisha Sio unafiki maelezo hayo yaweke ilipokuwa awamu ya Nne ili ujione ulivyo
.
Unachanganya maembe na machungwa. Tunaongelea uteuzi katika serikali ya awamu ya tano chini ya JPM. Hata hili umeshindwa kuliona.
 
Mleta uzi ni Mchochezi zaidi ya Sheikh Khalifa.
Kwa takwimu alizoweka ameendelea kuyapa uzito madai ya Sheikh Khalifa
Kilicho muhimu zaidi ni hizo TAKWIMU ni fake au kweli
 
Naona sasa umefika wakati wa kuchagua watendaji kwa njia ya kubahatisha (draw au lottery) kwa kuweka majina ya watu wenye sifa sawa bila kujali dini wala mambo ya affirmative action wala uwakilishi wa aina yoyote ile.
 
We nawe ni wale wale tu... huna tofauti yoyote! Ikiwa unaamini hizo zaidi ya 75% kwa kila sekta ni kwa sababu Wakristo ni wasomi na Waislamu hawajasoma basi wala hauna tofauti yoyote na huyo Sheikh... narudia; we nawe ni wale wale tu! Patamu zaidi, inawezekana nawe unajiona ni mmoja wa hao wasomi ingawaje unashindwa kutofautisha kati ya "suala" na "swala!" Unapachika herufi kubwa katikati ya sentensi lakini unataka kuaminisha watu kwamba mnateuliwa kwavile ni wasomi!!
Tofauti yako na shehe huyo haipo... kwa hiyo kwa idadi ya waislam serikali ya Zanzibar, ni udini..??
 
Daah...HUWA NAJIULIZA HILI:

■ Awamu iliyopita,

RAIS= Muislam.

MAKAMU WA RAIS= Muislam

RAIS WA ZANZIBAR = Muislam

■ Awamu hii

RAIS= Mkristo

MAKAMU WA RAIS = Muislam

WAZIRI MKUU= Muislam

JAJI MKUU= Muislam

RAIS WA ZANZIBAR= Muislam

Sijui kama ingekuwa ni wakristo wameshikilia nafasi hizo ingekuaje kama sasahv lawama haziishi.

- Hata kwenye all 3 National pillars wangekuwa waislam wote bado kuna watu wangelaumu tu.
 
Tofauti yako na shehe huyo haipo... kwa hiyo kwa idadi ya waislam serikali ya Zanzibar, ni udini..??
We ndo bure kabisa... yaani kwa akili yako unaona kuna uhusiano kati ya nilichosema mimi na hiyo hoja yako?! Au unataka kusema wanaangalia population distribution ya hizo dini mbili?! Kama ndivyo; sasa hilo lina uhusiano gani na nilichosema mimi?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom