Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane...
Sasa hapo mnajichanganya, alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma.

Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!

Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti?
 
Sasa hapo mnajichanganya,alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!!
Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti???
Tushauri uongozi wa Bakwata ufunge mjadala huu ili tuendelee na mambo mengine.
 
Sasa hapo mnajichanganya,alipokuja huyo Mfalme wa Morocco,wengi tulimsikia Magufuli akiomba tujengewe msikiti na kiwanja cha mpira Dodoma. Sasa mbona kwenye majibu ya huyo Mfalme kwenye suala la msikiti hakusema alishaambiwa na Kikwete na analijua!!
Lakini la ajabu ni kweli kwa wingi wa matajiri wa kiislamu nchi hii walikuwa na sababu ya kuomba kujengewa msikiti???

Msikiti wenyewe thamani yake ni milioni 300. Ila mpaka waombe eti
 
huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Hata Kamanda wa Anga alitujulisha kuwa Akaunti zake zote za Bank zilifungwa baada ya Mzee Kufariki
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane.

Iwe bhojo!

Naunga mkono hoja ...msikiti huwezi kujengwa na khafiri .....sema Yule Mzee misifa alituweza kweli kwa unafki
 
Hata kwenye dini wanafiki na wasakatonge wapo kwanini hakuongea hayo na kumkemea JPM aache kudanganya?
"Magufuli alikuwa Simba wa yuda na pia hukupenda kushaulika akiamua tampoteza mtu lazima auwae" Samia(2021)
 
huo ni unafiki kwanini hakusema wakati magufuli yupo hatuwezi kusikiliza maneno ya upande mmoja tu kama kwenye kanga angesema na magufuli yupo ili tusikie naye atasemaje hapo mzee umefeli pakubwa sanaaaaaaaaaa
Angesemaje Kwa mfano... Apotezwe!
 
Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ...
Dunia hii ina unafiki mwingi sana, imagine mimi imani yangu haiamini msikiti, lakini najenga. si bora sa100 hakutaka hata kusema Bwana asifiwe, akaweka salamu ya jamhuri, kwasababu hataki unafiki, nampongeza.

Mimi nitawapenda waislam na kusaidiana nao kama wanadamu wenzangu, ila imani ya msikiti siiamini kama ni njia ya kweli, na siwezi kutoa hata senti tano kujenga njia ya upotevuni. utaadhibiwa hadi na Mungu wa kweli.
 
Sheikh kajichanganya. Ukweli umedhihiri atafute kichaka kingine Cha kujificha.
 
Back
Top Bottom