Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

Utakuwa punguwani kama umeona jazba hapo.Jazba ni kuchoma makanisa na kupreach hatred,we vipi?

mkuu fuatilia thread zangu utaona marachache huwa nakuwa kwenye haya majukwaa yenu! utanikuta sana michezo kule. na pia mimi sio mshabiki wa hizi dini zenu za kuletwa na majahazi niondoe kabisa huko!..

ulinijibu kwa kauli nzito ndio maana nkakwambia taratibu punguza jazba...

naomba tuheshimiane
 
makao makuu ya ccm yamechomwa ...
attachment.php
 
FACTS, haya makundi kama UAMSHO, ALSHABABHU, ALQUEDHA,BOKOHARAMU, HEZBHULLAR, HAMAS, TALLEBHAN N.K
ni makundi ya kishetani ambayo kwa
udhaifu na Mapungufu makubwa kwa dini ya kiislamu yameweza kujiingiza na kukubalika na hata kupewa nafasi ya kutoa mawaidha misikitini hata kuweza kuaminisha waislamu kwamba kuua mtu kwa nia ya kumtetea allar ni sahihi, hii kwa mtazamo wa kawaida ni kama bla bla lakini ni kweli hata hapa TZ juzi tuliona waislam wakiomba wapewe kijana wa miaka 14 aliyekuwa maabusu ili wamchinje kwasababu kakashifu msaafu. Sasa jiulize ukishaaminishwa na kuamini hivyo kweli utakaa ujue kwamba MUNGU wa KWELI ANAKUTAKA UTENDE NINI KWELI.!!!!!!!!!!!!!!!.
 
mkuu fuatilia thread zangu utaona marachache huwa nakuwa kwenye haya majukwaa yenu! utanikuta sana michezo kule. na pia mimi sio mshabiki wa hizi dini zenu za kuletwa na majahazi niondoe kabisa huko!..

ulinijibu kwa kauli nzito ndio maana nkakwambia taratibu punguza jazba...

naomba tuheshimiane
Jiheshimu mwenyewe kwanza kwa kubakia huko uliko kabla ya kuomba kuheshimiwa huku "kwenye majukwaa yetu".Siheshimu watu wasiojiheshimu,na sina muda wa kufuatilia pumba zako.

Msimamo wangu pia kuhusu dini za kuletewa unafamika na wale ambao wameshawahi kuiona michango yangu kwenye hilo.

Hakuna mahali nilpoonyesha jazba kwenye ile posti.Bora ubaki huko uliko unapoheshimika.Huku kumekuzidi uwezo wako.
 
Ndo mavuno hayo sasaa wanaipenda ccm,na ccm inawapenda waisilamu.si atujui kifuatacho yetu masikio
 
Udini alioupanda kikwete ndiyo mavuno yake haya. Hakuna atakayesalimika ila iko siku atatoa hesabu ya kazi yake.
 
Aliwekewa bastola kiunoni ina maana kiuno chake kilikuwa kwenye dirisha la gari lake?Ama unazungumzia kiuno cha nani?uchambuzi gani huu?Wengine wanasema eti kapotea,amekuwa coin?ama hata amekuwa mtoto mdogo?Ama hata alikuwa kwenye matembezi au yeye mwenyewe alikuwa akiendesha hadi tuseme alipotea?

Huyu kajificha,period!Na kama ni kweli yeye alikwenda kusikojulikana mida ya saa tatu usiku,halafu kama ni kweli Ponda alikamatwa saa tano usiku,basi kuna mwana inteligensia ama polisi aliyemvujishia habari kumwambia na wewe utakuja kukamatwa.Ni sawa na operations za kukamata wahalifu lakini huwa kuna polisi wanaowavujishia siri baadhi ya wahalifu ili wasikamatwe.That's the way i see it.

Mtu aone gari jingine ambalo hata dereva wake aliliona(na kwamba hajawahi kuliona), na akashuka mwenye kulifuata useme ametekwa?

Utakuwa punguwani kama umeona jazba hapo.Jazba ni kuchoma makanisa na kupreach hatred,we vipi?

Jiheshimu mwenyewe kwanza kwa kubakia huko uliko kabla ya kuomba kuheshimiwa huku "kwenye majukwaa yetu".Siheshimu watu wasiojiheshimu,na sina muda wa kufuatilia pumba zako.

Msimamo wangu pia kuhusu dini za kuletewa unafamika na wale ambao wameshawahi kuiona michango yangu kwenye hilo.

Hakuna mahali nilpoonyesha jazba kwenye ile posti.Bora ubaki huko uliko unapoheshimika.Huku kumekuzidi uwezo wako.

haya bana .. Great thinker wa JF mimi ni punguani kama ulivyoniita hapo juu nimekubali.. acha niende huko kwa punguani wenzangu ninapoheshimika na pumba zangu ...

peace out
 
Peace out.

Hivi huko "michezo" kuna jukwaa la "viduku"?
 
Mushi nimekuwa mtumiaji mzuri sana wa JF toka 2007 sijawahi kupata ban tafadhali niache niondoke hapa kwa amani nimekubali kwamba mi ni punguani na wewe ni great thinker sijui unataka nini zaidi
 
MAPANGA SHWAAA SHWAAA kabla ya UAMSHO....usisahau..... Mkapa alipigaaaa wakatuliaaaa..... sasa UAMSHO... Dawa kuwawahi na kupigaaaaa na watatulia..... asiyesikia NG'oa meno kwa koleo...

FACTS, haya makundi kama UAMSHO, ALSHABABHU, ALQUEDHA,BOKOHARAMU, HEZBHULLAR, HAMAS, TALLEBHAN N.K
ni makundi ya kishetani ambayo kwa
udhaifu na Mapungufu makubwa kwa dini ya kiislamu yameweza kujiingiza na kukubalika na hata kupewa nafasi ya kutoa mawaidha misikitini hata kuweza kuaminisha waislamu kwamba kuua mtu kwa nia ya kumtetea allar ni sahihi, hii kwa mtazamo wa kawaida ni kama bla bla lakini ni kweli hata hapa TZ juzi tuliona waislam wakiomba wapewe kijana wa miaka 14 aliyekuwa maabusu ili wamchinje kwasababu kakashifu msaafu. Sasa jiulize ukishaaminishwa na kuamini hivyo kweli utakaa ujue kwamba MUNGU wa KWELI ANAKUTAKA UTENDE NINI KWELI.!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Mushi nimekuwa mtumiaji mzuri sana wa JF toka 2007 sijawahi kupata ban tafadhali niache niondoke hapa kwa amani nimekubali kwamba mi ni punguani na wewe ni great thinker sijui unataka nini zaidi

mkuu nahisi amekuelewa.
 
Mushi nimekuwa mtumiaji mzuri sana wa JF toka 2007 sijawahi kupata ban tafadhali niache niondoke hapa kwa amani nimekubali kwamba mi ni punguani na wewe ni great thinker sijui unataka nini zaidi
Mimi siyo Great thinker,nashangaa bado hujawahi unakoenda.I never change,this is Jay everyday.Same OL G!
 
Hii kitu haina mahusiano yoyte na Uongozi wa Ndg. Mh. Dr. JK???? Mbona B4 hakukua na madudu mengi namna hii???? Suka mtandao komaa nao mpaka mwisho.... Unasuka mtandao then unaanza kuwachomoa mmoja mmoja kisha wanakuona wewe unaendelea kula bata tu hekaluni??? Allah atuepushe.....Something fishy is going on!!! Time will tell!!!
 
Kama zomba na Ritz hawatajitokeza kwenye thread hizi za kukamatwa masheick,basi lazima mmojawapo atakuwa ndiye aliyekamatwa ama kujificha.Kama sivyo,basi wako miongoni mwa wenye kujaribu kuwawekea mdhamana.Kwasababu si kawaida yao kuikosa hii mijadala endapo hawako banned.

Kuna aliyewaona anywhere ili niondokane na mashaka haya?
 
Back
Top Bottom