imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,052
Tumuombeeni Dua na Sala kimyakimya.Yule bwana mdogo wa Mbeya somebody Idude nae ni vizuri akaachiwa akaungane na familia yake wote tunajua jela siyo kuzuri ahurumiwe!!!
Tumuombeeni Dua na Sala kimyakimya.Yule bwana mdogo wa Mbeya somebody Idude nae ni vizuri akaachiwa akaungane na familia yake wote tunajua jela siyo kuzuri ahurumiwe!!!
Exactly,Basi Dua za hao Mashekhe ndio zimemuondoa yule Ibilisi
Basi Dua za hao Mashekhe ndio zimemuondoa yule Ibilisi
Tumuombeeni Dua na Sala kimyakimya.
acha ramli wewe mtoto wa nje ya ndoa si bure utakuwa mchawiMUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.
Mungu ibariki Tanzania
Naomba ututilie nukuu moja tu kutoka kwao inayohuniri uvunjifu wa amani.Wavunje hata kesho! Sina cha kupoteza. Ila sitawaunga mkono kamwe hao Masheikh kuhubiri chuki na mwisho wa siku baadhi ya Watanzania wenzetu kumwagiwa tindikali, kwa kisingizio cha kutaka kujitenga na Tanganyika!
Haya mambo uleta laana ktk nchiNaunga mkono Hoja, hebu fikiria familia zao Watoto hawamuoni Baba au Mama kakaa Gerezani kwa kukosa Dhamana,Sheria kandamizi lazima tuzifute wajameni.
Mbona hujapeleka ushahidi wa hao waliofanya hayo?Ni haki yenu kuukataa Muungano! Lakini tatizo linakuja pale mnapotumia njia zisizofaa! Kuua raia wasio na hatia, kuwamwagia Wakristu tindikali au kuchoma nyumba zao za ibada, kwa mgongo wa kuukataa Muungano, ni jambo lisilo kubalika kwa wapenda amani.
Mhubiri dini ya Mtume wenu sasa! na siyo kuhamasisha vitendo vya uvunjifu wa amani kwa kisingizio cha kutaka kuvunjwa kwa Muungano!
[/QUOTE
Mkristo msuKUMA utamjua tu
Uzuri nimewasikiliza hao Masheikh wenu wawili (Farid na Mselem). Wote wameahidi kutii mamlaka na kujiepusha na chokochoko za aina yoyote ile!Mbona hujapeleka ushahidi wa hao waliofanya hayo?
Hivi kutuletea majeshi kuja kutuuwa ,kuiba Na kuwanajisi watu wetu , kwenu nyinyi si tatizo?
Ni waumini wa kawaida na wazuri , Ila mwanzo hawakujua kama walitaka kutumiwa na magaidi, waanze vema sasa.Sheikh Farid man of the match TAKIBIRIIIIIIII....sasa ukae kwa kutulia.
Haya maneno sijui kama atarudia tena kuyasema kwa jeuri kama anavyoyasema katika hii video.
Mimba ya jiwe inakusumbua!MUNGU mbariki mama samia,
Mungu mbariki raisi Mwinyi,
Mungu mbariki DPP,
MUNGU MSHUGHULIKIE JIWE.
Mungu ibariki Tanzania
JK.?Raisi Samia analeta Maridhiano kwenye hili, Taifa lililoteswa na na kugawanywa na Mtu aliyetumia nguvu za Uraisi vibaya.