Sheikh Farid wa Uamsho ni Raia wa Yemen-Jambo Leo 24/10/12
....Ametumikia jeshi la Qatar
....Amepitia mafunzo ya Al Qaeda
My take:
Kwa nini hawa wahamiaji wanaachiwa sana watambe kuvuruga amani ya Tanzania. Tunaona muhamiaji mwingine Sheikh Ponda anavyovuvuruga na tunamlea lea tu..
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.

amewahi kuwa pilot wa ndege ya kijeshi.
ikumbukwe uarabuni kuwa rubani haiitaji shule ila ukaribu na watawala.
Osama bin Laden yule gaidi namba moja naye ni sheikh,mkuu acha utaniLazima alikuwa kwenye kambi za sheikh Osama bin Laden
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.
Wewe unatumia makalio kufiri sasa anza kukalia kichwa kwakua hakifanyi kazi,
wivu wako nini wewe na Faridi si Mtanganyika? ikiwa kufanya kazi Qatar ndio Zambi, Basi wako wengi tu Wazanzibar wanafanya kazi Gulf Tena Jeshini na Serekali ya Mapinduzu ya Zanzibar inajuwa hilo na lipo kabla ya Muungano na Tanganyika.
Jee kuwa na jamma Gulf vipi? maana Wazanzibar takribani nusu wana jamaa huko sasa tuseme vipi? hebu wacha wazimu kama munasema Watanganyika na Wazanzibar nindugu basi na gulf na Wazanzibar wana damu vile vile kwa vile walikuja na kuoa na kuzaa.
Hebu rudi usome historia ya visiwa vya zanzibar na watu wake, basi mwambie rais wako kikwete awazuwie basi, kama imekuwa wivu?.
za kuambiwa changanya na zako....poleni wafia dini
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi Jeshini na anafadhiliwa na nani.
Daah!ukweli waislam mumenipa mtizamo ambao sikuwahi kuwa nao maishani mwangu.hizi ni akili za kitanganyika chuki na ubinafsi kwani faridi akifanya kazi oman au qatar ndio nini au yeye ni mweupe tu ndio ulete bla bla za ubaguzi kuna watu weusi wazanzibar wako qatar na polisi wengine ni majeshi wengine pilot na wengine ni wahasibu wa mabenki nini nyinyi watanganyika mukifika oman dubei nyote munasema ni wazanzibar mupate ajira mbuzi nyiee chuki roho mbaya na ubaya nenda dubei kuna madactari tele wazanzibar shata maofisa wa uhamiaji nenda sharja na ajman nenda kuweit mbuzi nyie tumechoka na muungano wenu kheri tungeungana na ngombe kuliko tanganyika munashindwa hata kufikiria muungano wa usawa ili kuwe na maendeleoo watanganyika wanaume wanauza ugoroo tuu kwenye khalij na wazzanzibar ndio mabasha