Sheikh Basalleh wa Radio Kheri Ni Mchochezi

Sheikh Basalehe ni kiongozi wa kidini mwenye hadhi kamili ya uongozi katika jamii ya waislam sawa na Pengo wa kanisa katoliki au mtikila wa kanisa li silo rasmi. kwahivyo basi anahaki ya kutoa maoni yake kama walivyoviongozi wengine wa kidini hapa nchin. Kuhusu madai ya kuwa waislaam ndiyo wengi hapa nchini hayo ni sahihi kabisa wala hayana ubishi. kwani ushahidi wa jumla unadhihirisha kwamba zaidi ya 75% ya wakazi wa mijini ni waislaam na huko mashamba 45%. (source: Globa popolation statistics 1989, sectiohjn E&F EAST AFRICA REGION).
Kusema kwamba waislaam wajiandae kushika madaraka hilo sio kosa la jinai, ni tamko la kawaida na laweza kusemwa na pengo, Mtikila Kilaula nk.

Inawezekana ni wengi na hii ni kutokana na sera (sijui ni sahihi kutumia hili neno) ya kuoa wake kibao na sera ya kuoa na kuachana kiulaini.
 
Kumbe na hilo lina wakera? duh naenda kuongeza mwingine ili ukereke zaidi

Fahamu pia una haki ya kikatiba kuuoa wengi mkuu acha kulialia...
 
Haki ya kutoa maoni inawalinda hata wenye maoni makali, yenye ukweli na ya kijinga. Ili maoni yawe yamevuka haki ya uhuru wa maoni ni lazima yafikie mahali pa kuhamasisha vitendo viovu. Nadhani anatumia haki yake tu ya kutoa maoni ni jukumu la wasikilizaji kupima uzito wa maoni hayo.

Mzee Mwanakijiji,

Ndio maana yangu nikamuuliza maswali hapo juu maana kila mmoja anamtazamo wake ila yeye anatoa maoni yake ni jukumu la msikilizaji kupima anachokizungumza. Mfano mtu akisema sentensi hii mwanamke bila ya mwanaume hawezi kuwa na maendeleo. Kuna watakaoelewa kuwa mwanamme ni muhimu katika maendeleo ya mwanamke, kuna wataelewa kuwa mwanaume ni kitu pekee anachokihitaji mwanamke aendelee, kuna watakaoelewa mwanamke na mwanamme ni chachu ya ukamilifu na kuendelea!!!!!

Sasa wewe unaweza kuona ni uchochezi, mwengine akaona ni wake up call, mwengine akaona ni darasa la elimu.
 
Kipindi cjha JUKWAA LA ASIYE NA JUKWAA Radio Kheri 104.10MHz kila Jumapili saa tatu na nusu usiku kina kila daliili za kuhamasisha vurugu. Sheikh Bassalleh huwa ni mtoa mada mkuu katika kipindi hiki. Kwa mara nyingi amekuwa akirudia rudia na kuwaaminisha wasikilizaji wake kuwa waislamu ndiyo wengi (bila kutoa takwimu) Tanganyika na kwa hali hii wanatakiwa wawe wameshika usukani katika kila nyanja na wasikubali "kuonewa". Wana JF mnasemaje juu ya hili?
Yani umejiunga kwa ajili hii tu, kuleta uchochezi wa kidini.
 
Kumbe na hilo lina wakera? duh naenda kuongeza mwingine ili ukereke zaidi

Fahamu pia una haki ya kikatiba kuuoa wengi mkuu acha kulialia...

i
Waislamu ni asilimia 35% na wakrsito asilimia 62%....3%...wewe unabase kwenye utafiti wa mwaka 1989....wakati kuna utafiri wa mwaka 2009....

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for
2009 suggests that 62%
of the population of Tanzania is Christian

TENA MKAMUAMBIE HUYO SHEIKH BASALAH..kuwa hoja ya kusema kuwa waislamu ni wengi haipo na wala haina uzito tena.......ni kutiana hamasa tu!!!........unajuwa kwa mtu ambaye yupo pale kariakoo ...au gerezani anaweza kuongelea hilo...lakini jiulizeni kuwa asilimia 80% ya watanzania wanaishi vijijini....huko ndiko dini ya kikrsito imesambaa ...muingiliano wa maisha na ajira rasmi au zisizo rasmi katika siku za karibuni umeongeza idadi ya wakristo kuamia mijini.
 
naona unamwaibisha huyo unaetumia avatar yake......maana majibu yako hayana mizania....kama huelewi jambo uliza.....tatizo wengi mna prejudices towards Waislam na Uislam.....hebu jaribuni kuelewa kwa dhati kwanza ndio muanze kuubeza!
 
Inawezekana ni wengi na hii ni kutokana na sera (sijui ni sahihi kutumia hili neno) ya kuoa wake kibao na sera ya kuoa na kuachana kiulaini.

naona unamwaibisha huyo unaetumia avatar yake......maana majibu yako hayana mizania....kama huelewi jambo uliza.....tatizo wengi mna prejudices towards Waislam na Uislam.....hebu jaribuni kuelewa kwa dhati kwanza ndio muanze kuubeza!
 
i
Waislamu ni asilimia 35% na wakrsito asilimia 62%....3%...wewe unabase kwenye utafiti wa mwaka 1989....wakati kuna utafiri wa mwaka 2009....

The study of the United States Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor for
2009 suggests that 62%
of the population of Tanzania is Christian

TENA MKAMUAMBIE HUYO SHEIKH BASALAH..kuwa hoja ya kusema kuwa waislamu ni wengi haipo na wala haina uzito tena.......ni kutiana hamasa tu!!!........unajuwa kwa mtu ambaye yupo pale kariakoo ...au gerezani anaweza kuongelea hilo...lakini jiulizeni kuwa asilimia 80% ya watanzania wanaishi vijijini....huko ndiko dini ya kikrsito imesambaa ...muingiliano wa maisha na ajira rasmi au zisizo rasmi katika siku za karibuni umeongeza idadi ya wakristo kuamia mijini.

Wewe acha uongo,

Website ya Marekani wanasema hizo ni estimates inamaana wamekisia tu na hapo hata mie naweza kukisia navyojisikia usitake kudanganya watu. Study mpaka sasa hivi inayojulikana ni kama ifuatavyo:-

Waislamu = 35%.

Wakristo = 30%

Iliyobakia dini nyenginezo.

Source hii hapa:-

Religions:
mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim

https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html
 
Mie naomba kuuliza kwa muanzishaji hii Thread je ni uongo waislamu sio majority nchini?

Pili una hakika anachochea au anawahamasisha waislam kuondokana na ujinga kusoma, kutafuta kazi za maana na kuingia katika kisiasa ili wapate kujikwamua?

Tatu unaenda kusikiliza redio kheri kwa ajili ya nini kwanini usisikilize redio tumaini???

it might be that true ur majority and u can step ahead economically. lakini wingi au uchache wenu haukusaidii katka maisha yako binafsi,baadhi waislam wanasomesha watoto nje ya nchi,wewe huna hata ada ya shule za kata .but nazir karamagi,rostam aziz,jk etc.are have developed at your expense.Tumia akili uislam sio udungu. utabaki kuambulia tende za hao nilowataja kwenye mfungo wa ramadhan while your friends wanajenga mahotel nje kwa hela za wizi.
 
Kamjibu Philemon mikael aliyeandika upupu wake hapo juu. Nadhani mleta mada ameianzisha kwa nia ya kuleta uchochezi kwani anajua watakuja watu wenye IQ ndogo kama akina Mikael wataanza kuandika vitu vyao vya ajabu eti vijijini hakuna anayejua waislamu ameenda Lindi, Mtwara, Dodoma, Iringa, Tabora, Tanga, Pwani, Kigoma, Zanzibar, Mafia huku kote unakuta waislamu ni zaidi ya asilimia 60 kama sio 80 yeye anasema eti uislamu uko mjini, mikoa mengine kama Dar, Arusha, Kilimanjaro either waislamu wako 40% au nusu kwa nusu sijui yuko dunia gani!!!!
 
Wewe Kilaza bweg Mtozeni...Mdondoaji...mimi nimetoa source...umeiona ..huna haja ya kusema nani muongo ...source yangu ni ya mwaka 2009....hujasema source yako ni ya lini......!.. afteral idadi its immaterial kwenye nchi yetu...ila nimejaribu kukuonesheni tu kuwa kuna tafiti zinafanyika ..na ziko against matamshi ya wapiga makelele kama wewe au huyo Basalah....mnayemuita sijui nani...
Umetaja mikoa hapa lakini huna any research findings za kuanisha maneno yako.........utafiti uliofanyika na idara ya historia Oxford ....unaonesha wazi kuwa Uislamu Ulienea mwanzoni Tanganyika kwenye SLAVE CARAVAN ROUTE.......ndio maana mikoa ya KIGOMA,TABORA[hadi sehemu za singida],baadhi ya sehemu za dodoma,na Pwani [zamani dar,pwani,na kipande cha morogoro].....huko ndiko uislamu uliingia ....halafu kuna route ya mwambao ambako uislamu uliingia miaka ya 1300...[mombasa]Tanga,zanzibar,bagamoyo[dar],Kilwa[it was very important city in islam],lindi,mtwara...
Itambulike kuwa waislamu walikuwa wa mwanzo kufika ...lakini udhaifu wao na ambao hadi sasa unaendelea katika haya maeneo mengo niliyotaja ...walipenda kubakia kwenye miji ...ya maeneo hayo.....wakati wenzao wamisionari walivyofika walifikia Pwani lakini hawakuangaika na Pwani....walienda moja kwa moja ndani kabisa kueneza dini....mikoa ya bara ulioitaja walifika waislamu wachache miaka ya mwanzo ambao wengi walikuwa wafanya biashara...MFANO Arusha ..wengi wanaishi kati kati ya miji...Kilimanjaro wapo mjini pale ,machame wapo,Mwanga Na Same wapo ....hasa dini hapa ilisambaa toka Tanga....especialy kwa kufuata njia ya reli ambako miaka hiyo biashara ilikuwa imepamba moto.....kwenye mashamba ya Mkonge..ambako mashamba yalienea toka Tanga Hado SAME /mwanga[zamani wilaya ya Pare].....
Hata hapa Dar bado waislamu wengi hawataki/hawapendi kuishi nje ya mji...ukiacha wachache ambao wameendelea .....wengi wanapenda kuishi maeneo yenye waislamu wengi...nadhani hii pia inatokana na mahitaji ya kuwa karibu na nyumba za ibada.....pemebezoni mwa jiji tu ni nadra kuona msikiti.....kuacha ambayo iko pembezoni mwa barabara kuu za kuingia jijini...ukiingia ndani kwenye vitongoji wachache wanaoishi huko hupata taabu kufikia nyumba za ibada.......
 
naona unamwaibisha huyo unaetumia avatar yake......maana majibu yako hayana mizania....kama huelewi jambo uliza.....tatizo wengi mna prejudices towards Waislam na Uislam.....hebu jaribuni kuelewa kwa dhati kwanza ndio muanze kuubeza!

Tunaujua ni kulalamika lalamika,na mwishowe kubeba Majambia😛uke:
 
Kamjibu Philemon mikael aliyeandika upupu wake hapo juu. Nadhani mleta mada ameianzisha kwa nia ya kuleta uchochezi kwani anajua watakuja watu wenye IQ ndogo kama akina Mikael wataanza kuandika vitu vyao vya ajabu eti vijijini hakuna anayejua waislamu ameenda Lindi, Mtwara, Dodoma, Iringa, Tabora, Tanga, Pwani, Kigoma, Zanzibar, Mafia huku kote unakuta waislamu ni zaidi ya asilimia 60 kama sio 80 yeye anasema eti uislamu uko mjini, mikoa mengine kama Dar, Arusha, Kilimanjaro either waislamu wako 40% au nusu kwa nusu sijui yuko dunia gani!!!!

Nimekupata mkuu. lakini wingi au uchache wa wateja wa dhehebu au dini fualani sio hoja! maisha ya mtu binafsi yanamata sana.mimi mkristo lakin nimmemsaidia jiirani yangu muislam kamchango cha ada ya mwanae.Lakin je mbona hajasaidiwa mskitini au kupewa ufadhili na nduguze akina Rostam Aziz,JK,Nazir karamagi,Makamba etc.hawa sana sana wangempatia pilau na tende.
 
[QUOTE=Halfcaste;1561476]it might be that true ur majority and u can step ahead economically. lakini wingi au uchache wenu haukusaidii katka maisha yako binafsi,baadhi waislam wanasomesha watoto nje ya nchi,wewe huna hata ada ya shule za kata .but nazir karamagi,rostam aziz,jk etc.are have developed at your expense.Tumia akili uislam sio udungu. utabaki kuambulia tende za hao nilowataja kwenye mfungo wa ramadhan while your friends wanajenga mahotel nje kwa hela za wizi.[/QUOTE]
On red,
UISLAMU NI UNDUGU kwa mujibu wa hadithi ya mtume mtukufu Muhammad (s.a.w) ya kwamba 'al-muslim...akhul muslim',,,, maana yake MUISLAMU NI NDUGU YA MUISLAMU.
 
it might be that true ur majority and u can step ahead economically. lakini wingi au uchache wenu haukusaidii katka maisha yako binafsi,baadhi waislam wanasomesha watoto nje ya nchi,wewe huna hata ada ya shule za kata .but nazir karamagi,rostam aziz,jk etc.are have developed at your expense.Tumia akili uislam sio udungu. utabaki kuambulia tende za hao nilowataja kwenye mfungo wa ramadhan while your friends wanajenga mahotel nje kwa hela za wizi.

ON RED,
I STRONGLY DENY ON WHAT IS POSTED ABOVE, kwa mujibu wa mtume mtukufu Muhammad (s.a.w) kupitia hadithi takatifu ya kwamba: 'al-muslim...akhul muslim'....MUISLAMU NI NDUGU YA MUISLAMU.
Hivyo basi, kudai uislam sio undugu SIO SAHIHI KABISA. Ni vema facts zikatumika na si fununu ama kukurupuka ktk hoja na results zake kuwa ni mithili ya viroja.
 
Christianity and Islam are the predominant religions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity, about 35-40% practice Islam. The rest of the population adhere to traditional beliefs, most of which centre around ancestor worship and nature-based animism. Most Christians live on the mainland, where missionary stations and schools reach deep into the continent. Islam is the major religion of the coastal areas but is also practiced further inland along the old caravan routes.

Religion plays a large part in the daily life of Tanzanians. In Christian areas, families attend church together dressed in their Sunday best. Church services always involve singing and the hymns – often sung in complex harmonies – spill out to the streets outside. Easter and Christmas are major events in Tanzania, with services and celebrations often extending far into the day and night. The lunar month of Ramadan is an important time for Muslims around the country, who fast from food and drink from sunrise to sunset. After Ramadan comes the Eid, a time of feasting and festivity for the whole community. Tanzania's Asian religious minority includes Hindus, Sikhs, and Ismailis.

Source Tanzania Tourist Board
 
Kipindi cjha JUKWAA LA ASIYE NA JUKWAA Radio Kheri 104.10MHz kila Jumapili saa tatu na nusu usiku kina kila daliili za kuhamasisha vurugu. Sheikh Bassalleh huwa ni mtoa mada mkuu katika kipindi hiki. Kwa mara nyingi amekuwa akirudia rudia na kuwaaminisha wasikilizaji wake kuwa waislamu ndiyo wengi (bila kutoa takwimu) Tanganyika na kwa hali hii wanatakiwa wawe wameshika usukani katika kila nyanja na wasikubali "kuonewa". Wana JF mnasemaje juu ya hili?

Mkubwa... you don't have to contaminate your mind by tuning in to such sub standard radio stations! Abstain!!!
 
Kipindi cjha JUKWAA LA ASIYE NA JUKWAA Radio Kheri 104.10MHz kila Jumapili saa tatu na nusu usiku kina kila daliili za kuhamasisha vurugu. Sheikh Bassalleh huwa ni mtoa mada mkuu katika kipindi hiki. Kwa mara nyingi amekuwa akirudia rudia na kuwaaminisha wasikilizaji wake kuwa waislamu ndiyo wengi (bila kutoa takwimu) Tanganyika na kwa hali hii wanatakiwa wawe wameshika usukani katika kila nyanja na wasikubali "kuonewa". Wana JF mnasemaje juu ya hili?

'Nyoka huuma afikiapo'! Kama mtu hana kitu cha maana hawezi kutoa kitu cha maana.
 
ON RED,
I STRONGLY DENY ON WHAT IS POSTED ABOVE, kwa mujibu wa mtume mtukufu Muhammad (s.a.w) kupitia hadithi takatifu ya kwamba: 'al-muslim...akhul muslim'....MUISLAMU NI NDUGU YA MUISLAMU.
Hivyo basi, kudai uislam sio undugu SIO SAHIHI KABISA. Ni vema facts zikatumika na si fununu ama kukurupuka ktk hoja na results zake kuwa ni mithili ya viroja.

Facts are hard things! Hata zikitumika utazikubali? Hakuna facts zaidi tunachokiiona na kukisikia!
 
May be kuna waya imekatika kichwani mwake na pia amepungukiwa hekima na maarifa. Nawashauri mumpuuzie

Kana mapepo ya kutosha ndiyo yanayomuongoza kueneza uchochezi usiokuwa na mashiko!
 
Back
Top Bottom