Msimamowa Lissu kuhusu kuukabili mzunguko mbaya wa fedha ni upi?Hiyo ni iman tu ila km una hatia hapo kwenye tisa weka wote 10. Mwizi ni mwizi tu. Naomba hii kitu kifanyike ili tujue.
Nimeamini Lissu alipaswa kuwa Raisi, haijawahi tokea hii kwa viongozi
Fanya tukio ili uwe wa mfano unabwabwaja huku unaogopaNijitokeze wapi?
Si huyu hapa nipo....
Huo ujinga wenu wa albadiri hauwezi kunipata hapa nilipo mpaka nijitokeze?
Hahahahaaa...eti nijitokeze wakati tayari nipo hapa nauponda.
Kama upo kweli nisomeeni mimi tuone...wajinga wa mwisho nyie.
Mnachoweza ni kulialia tu nyuma ya keyboards.
FOH with that bullshit. It doesn't exist.
Hamna lolote.Fanya tukio ili uwe wa mfano unabwabwaja huku unaogopa
Nimeomba wanipige al-badr hapa. Nife kabla ya Jumatatu kwa kusema Mungu hayupo.Hamna lolote.
Nimeomba wanipige al-badr hapa. Nife kabla ya Jumatatu kwa kusema Mungu hayupo.
Kuna jamaa anahesabu masaa.
Honestly ban ya mods inaweza kuwa mbaya zaidi ya al-badr at this point.
Tulia,kwani inakuhusu????Hiyo albadiri ni upuuzi tu. Haipo. Haifanyi kazi. Ni upumbavu mtupu.
Si muwaache sasa wasome mnaogopa nini?Hiyo albadiri ni upuuzi tu. Haipo. Haifanyi kazi. Ni upumbavu mtupu.
Nani anaogopa?Si muwaache sasa wasome mnaogopa nini?
Maana ya Albadri ni kushtaki kwa Mungu naye hakuna wa kumpangia muda wala ulazima wa kutendaNimeomba wanipige al-badr hapa. Nife kabla ya Jumatatu kwa kusema Mungu hayupo.
Kuna jamaa anahesabu masaa.
Honestly ban ya mods inaweza kuwa mbaya zaidi ya al-badr at this point.
Mungu hayupo, ndiyo maana albadiri ni uongo.Maana ya Albadri ni kushtaki kwa Mungu naye hakuna wa kumpangia muda wala ulazima wa kutenda
Wajua aliyesomewa Mrema ilianza kufanya kazi baada ya miaka miwili?