Sheikh aliyesemekana atasoma Alhul badr ahojiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Muheza

Duuu kweli wakati mwingine nashindwa kuelewa imani nyingine. Seriously mtu anaaogopa albadir kwamba itamdhuru? Hii ina maana serekali inaoopa mambo ya kiimani ambayo hayana ushahidi wa kisayansi.

Sishangai sana maana kuna viongozi wetu wengi akiwemo mkulu wa sasa walienda kupata kikombe cha babu.

Ndio maana huwa tunasema viongozi wetu wengi wanaamini ushirikina mbali ya kujidai wana elimu kubwa.
Serikali haiogopi mambo ya kiimani, wenye serikali ndio wanaogopa
 
Serikali haiogopi mambo ya kiimani, wenye serikali ndio wanaogopa

Honestly huwa sielewi serekali ni kitu cha aina gani, ni mzimu ama ni nini? Maana ninachoona ni watu wakijiita serekali. IIa likiharibika jambo serekali haionekani!!
 
ngoja siku ije isomwe ile ya kisharia na baadhi ya sura zisomwe kwa ikhlasw ...wasiojulikana watatoka shimoni kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taaa...
 
Back
Top Bottom