EMT ewura wameikubalia tanesco kuongeza gharama za umeme kwa asilimia 67+ mwez huu mtu yyte anayenunua umeme basi atanunua kwa gharama hizo.
Bei ya umeme huu kwa mwaka huu imepanda kama sikosei ni mara ya pili sasa. ninachojiuliza mimi hivi ni kwanini tanesco licha ya kukusanya mapato yake, kwa kila mteja lkn mbona imeshindwa imara hadi kupelekea kila mara kuongeza bei ya umeme tu??
nimejiuliza hivi huu umeme ni kwamba hauna faida kwa tanesco ama ni kwamba wananchi wengi wanaliibia shirika hivyo gharama kubaki kwa wananch wachache ama ni kwamba licha ya kukusanywa mapato vizuri lkn gharama za kuiendesha tanesco ni kubwa sana.
Pia ewura kama ewura sijawah kuona siku imemtetea mlaji kwamba sasa hapa mlaji apewe unafuu. fuatilia kwa makini inachokataaga ni gharama zilizoombwa kuongezwa tu na sio kuongeza sasa hivi kwann gharama za kuendesha maisha kwa mtanzania wa kawaida zinakuwa ni mwiba kwake??
imagine unakatwa sh 1000 kila mwezi kwasababu ya smu, huku umeme unanunua kwa sh 200+ kwa unit unategema huyu mtanzania anaish kwa kipato cha sh ngapi kwa siku??
something has to be done seriously kuhusu hali ya maisha yetu kwa kweli.