Mkuu Gfsonwin,
I doubt kama mradi huu una EIA!, wewe uliwahi kuona hii tenda ikitangazwa?, EIA ingekuwepo kwanza ni ungesikia matokeo ndipo mradi uanze?!. Please usianza kutaka kufukunyua mavitu, ukawapa fimbo ya kutuchapia wale wachochezi wa ma NGO's kuwa mradi mkubwa huu hauna EIA!.
The original plan ni kwa LNG kujengwa baharini ambao EIA inaonyesha madhara kidogo!. Watalamu wetu wemeng'ang'ania ijenge on land ili tudhibiti kila kinachopatikana!.
Hili la ushirikishwa wananchi, sisi ma local consultants, tuliwaambia kabla, wakationa hatufai!. Mshauri mwelekezi ni kampuni ya Makaburu wa Afrika Kusini, ushauri wao ndio umeonekana wa maana!, baada ya backfire ndio sasa tumekumbukwa ndio maana sasa angalau unalisikia Baragumu la Msimbati, utamuona Jerry and soon nami pia nitaingia tuwaelimishe Wanamtwara faida za gesi na the biggest benefisharies ni wao na sisi Watanzania kwa ujumla.!.
Pasco