Shehena ya kwanza ya mabomba ya gesi Mtwara yawasili

Shehena ya kwanza ya mabomba ya gesi Mtwara yawasili

gfsonwin #60 nadhani umefafanua nikakuelewa na hakika ndiyo maana yangu niliposema wana haki na wala si haki ya kukatalia bali haki kwa vile project imewaacha nje.

Umeongelea wabunge, hapa napo kuna tatizo kubwa sana kuliko hata hiyo serikali. Wabunge wa Tz wanakuwa wabunge wakati wa kuchaguliwa, akishatangazwa anakuwa Mbunge wa CCM. Nasema wa CCM makusudi kabisa kwasababu wao ndio wameonakana kutokuwa na uelewa au ukaribu na wananchi kuliko wabunge wengine.
Hivyo nisingetegemea mbunge wa CCM asimame na kuongelea jambo hilo, angeitwa kwenye kamati ya chama.

Pengine hilo la wabunge liwe changamoto kwa watu wa Mtwara ambao wamekuwa waaminifu na watiifu sana wakati wa kura na baada ya hapo hawasikilizwi tena. Yaana wamefanywa 'toilet paper' kwa lugha rahisi.
Wakati umefika wajiulize kama bado utiifu unawasaidia au wanapaswa kuangalia namna mbadala

Lakini pia kuna tatizo lingine, hata mbunge aliyejaribu kuwa na wananchi amekamatwa kwa uchochezi.
Yaani CCM wamemtosa mbunge wao! hapo ni corruption tu na sijui katika mazingira hayo kitu kama EIA ingeweza kufanyika katika ukweli.

Na mwisho narudia kuwataka wananchi wa Mtwara wajenge utamaduni wa kurudi makwao na kuwa sehemu ya jamii walizotoka. Naweza kueleweka vibaya lakini uzoefu wangu wa kuishi maeneo mbali mbali ikiwemo Mtwara na sehemu kama Kagera na Kilimanjaro unanisukuma bila kificho kusema kuwa wasomi wa Mtwara sasa ni wakati warejee nyumbani kuongoza harakati za maendeleo.

Hii habari ya kuwaachia wanavijiji wang'ake ina ukomo wake. Masikini wanavijiji wanapigwa mabomu na kusingiziwa jambo ambalo lingeweza kuepukika kama wasomi, viongozi na wastaafu kutoka Mtwara wangekuwa wamechukua ajenda hii.
 
Baadhi ya watanzania wamekuwa na uelewa mdogo sana. Poroja nyingi, hawaelewi kuwa hawaelewi. Shida tupu. Na wengi wana vidigirii vipya badala ya kufanya upembuzi yakinifu na kutumia "tools of analysisi" wamekuwa wazushi na wafitini huenda bila kujua. Mungu uturehemu na uwasamehe. Mabomba ya Gesi ni ya Watanzania. Tumekopa na tutalipa. La msingi ni kuuliza yana gharama gani na yatalipwa vipi? GESI ITATOKA TUU,

You can Insult and despise them to the degree of your satisfaction, but when it comes to the natural resources, Tanzanians has a lot to worry of, course as of now, they already have a a number of reference points on their list..
 
Maskini nchi yangu.....kumbe miaka hamsini yote ilikuwa ni ya kula na kushiba ili wapate nguvu za kuanza safari!!!

I was a bit shocked Profesa alivyosema hivyo, though it may be true.
 
Watu wa Mtwara legelege sana ingekuwa Arusha hata tone la gesi halitoki!
 
Meli kubwa kutoka China tayari imetua katika Bandari ya Mtwara kwa ajili ya kushusha mizigo ya mabomba ya gesi ili kuanza kwa kazi ya ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.[h=1][/h][h=1][/h]





bomba.jpg
Mabomba maalumu kwa ajili ya kusafirisha gesi
 
Gesi hiyooooo inatoka wana Mtwara ndo hvyo tena Sirikali inaendelea na kazi yake .
 
Wanamtwara tushikamane tujenge taifa letu wale wambea na wazushi tuwaache na umbea wao jengeni mtwara yenu.
 
Huo ubwege wenu fanyeni wenyewe. Mi nasubiri gesi nipike kande. Madai yenye msingi mmeyaacha mnaleta upuuzi wa kanda hapa. Tena mi nataka wapindwe kweli kweli kama Pinda alivyoelekeza na Sugu kutolea ufafanuzi


You must be so so craizy,unakaa kuota ndoto za mchana kwamba ujio au kujengwa kwa bomba la gesi kutakunufaisha kwa matumiz yako ya nyumbani,ati upike kande na kuchemsha togwa??

Kama wamefeli kukuletea hata bomba la maji kwa kukosa plan bora ya mipango miji wataweza gesi??

Mara nyingi huwa unaongea vitu kipumbavu ------- na kishabiki na kuona kama watu wa mtwara ni vihiyo wasiojua nini wanakipigania,umepotoka sana na nguvu unayoitumia tambua haitaweza kukufariji kwa lolote lile,lait ungejua shida ambayo serikali yako ya kifisadi wanakutana nayo katika plan yao hii usingesema haya unayoyasema,

Hoja za wana kusini zipo wazi na hao mafisadi wanazitambua,labda vihiyo kama wewe usiejua hili wala lile na unaecheza ngoma usiyoifaham,rasilimali ni ya taifa,matumiz yake lazima yaangalie uhalisia wa mahali gani hiyo rasilimali ilipogundulika na kuzalishwa,

Unakuja na mawazo yako ya kpumbavu ------- nani atakusiliza,stupidy kabisa...
 
Kweli ww mwana mtoka pabaya... Mtwra hatuna ukanda bt tunataka raslimali iliyopo itunufaishe kwanza ss km wenyeji wa mradi.. Gesi kutoka kwa mabavu si uungwana hata kidogo.. Siku mamayako mzazi akibakwa na jwtz wa pinda utajutia hiyo kauli yako
 
.......si tuliambiwa "haitoki" kulikoni tena?

Usisahau pia tulishaambiwa kuwa hata majani tutakula, lakini rada lazima inunuliwe.
 
Usisahau pia tulishaambiwa kuwa hata majani tutakula, lakini rada lazima inunuliwe.

Ilikuwa ndege ya rais na aliyetamka haya ana kesi mahakamani kwa kiikosesha serikali mapato ya shs bn 11.
 
Back
Top Bottom