Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 43,753
- 103,543
Kipesa kdg tuu umebadilika shati tayari Hawa apa wanakusubiri wakupe nyapu 😂Ila wale watu wana makusudi mno 😊
Kipesa kdg tuu umebadilika shati tayari Hawa apa wanakusubiri wakupe nyapu 😂Ila wale watu wana makusudi mno 😊
Wa hivyo huwa nakimbia vibaya sanaKipesa kdg tuu umebadilika shati tayari Hawa apa wanakusubiri wakupe nyapu 😂
Usimnyime mwenzako utamu bhana 😂Wa hivyo huwa nakimbia vibaya sana
Si umeona sasa licha ya tofauti zao za statusLevel zipo,angalia prof jay kwenye zali la mentali au ulikua mdogo??
Huyi jamaa wa chuga ni yupiKama hayo maneno uliyoweka quote ameongea jamaa,basi nakubaliana nae asilimia 100.
Kuna wanawake ili uwapate basi inabidi ujiupgrade wewe mwanaume ili ufikie viwango vyake. Hapa nazungumzia katika level ya kiuchumi kama amekuzidi.
Mwanamke akishakuwa na uchumi mkubwa ,gari Kali,nyumba ya mamilioni na mwonekano wa HD( mrembo aliyepita viwango vya uzuri wa kawaida) automatically anapunguza wanaume kumfuatilia.
Yaani anakuwa kama mlimani city ilivyopunguza au kuchuja masikini,kwa sababu masikini wanaogopa vioo (uzuri na gharama ) na mambo kama hayo.
Mfano kwenye story ya Member INSIDER MAN ,jamaa mmoja Ambae alikuwa ni Mwarabu ana Mali za mafuta Dubai, na Bongo ana biashara pamoja na utajiri wote alikuwa anamgwaya mwanamke main character wa kwenye ile story.
Kwa sababu alipotaka kwenda kwa gia ya Hela/ ukwasi akashauriwa na jamaa kuwa huyo Binti hata umuonge milioni mia hawezi kukukubali kwa hiko kigezo maana yeye mwenyewe ana Hela chafu Mwarabu akagwaya na mihela yake.
Nakubaliana na wewe kuwa hakuna mwanamke special ila kwanza hakikisha mwanaume uwe umeinuka kiuchumia maradufu(pesa inaleta security na authority) kumzidi huyo manzi. Vinginevyo akupende yeye bila kuzingatia uchumi wako.
Mfano yule jamaa wa Arusha anayetrend mitandaoni kupendwsa na ile pisi Kali muuza nguo. Jamaa kaangukiwa tu na zali la mentally.
Sasa unaingia kwenye mfumo.. 4-4-2.Bilionea Rihanna alitoka na bilionea wa Saudi Arabia Jameel na Drake ukiangalia wote wana level kubwa kama yake
Mwisho wa siku kafanya maisha na A$AP Rocky demu kafa kaoza kwa muhuni na kamzalia watoto
Wote wasanii ila status na level ni tofautiSasa unaingia kwenye mfumo.. 4-4-2.
CONNECTION, wale ni wasanii, status yao 1, ukizungumzua asap sio harmonize wa chitoholi mkuu, ama kiba wa kkoo mchikichini.. ama mondi wa tandale
Ngoja nitafute handle ya yule dada. Ni Binti Fulani hivi ana mwili alafu kama muethiopia.Huyi jamaa wa chuga ni yupi
Hapa tumuulize Mzee wetu Pascal Mayalla atupe shuleWanawake hua hawaeleweki,unaweza kumnunulia gari kisha akaja kuliwa na aliye msaidia kubadili tairi njiani,
Kuna kesi nyingi tu za wake wa matajiri kuliwa na Shamba Boys.
Hivi hata unaelewa nilicho zungumzia? Hao wote wana access ya kuwa karibu, ambapo ni USANII.Talking of levels and classes
A$AP ni lofa tu ukimlinganisha na wajuba wote aliopita nao RiRi ukianzia kwa Breezy, Drake, Hamilton, Jameel, DiCaprio
A$AP ni B list rapper with a criminal record RiRi ni global superstar mbingu na ardhi
Love isn’t about status it’s about who she truly desires
Uzi ufungwe, umemaliza kila kitu Mzee🤝Mwanangu toka beijing, kuna namna hujanielewa...
Kwanza tukubali maisha yanaenda kwa level hilo lipo wazi, hapo mwenyewe ulipo kuna manzi hata ikija ikutake unaweza ikataa bila tabu, kuna manzi zinakutolea macho ila hazina ujeuri wa kukufata, tulubaliane hapo..
Nawe pia hali kadhalika..
Mfano tuchukulie wanu wa samia, na wanawake wengine.. kwa level yao jinsi ya kuwaingia ni mbinde kwa sababu kuu mbili, level zenu,
kisha pili connection. Na hii connection huwa inachagizwa na level.
UKiwa na connection nae ndio hapo sasa maujanja yanapochukua nafasi. Na hizi connection ni kama ulisoma nae, uliishi nae zamani, kama bodaboda ni abiria wako etc..
So, level ama niseme status sijui zipo kuna watu ngumu mnoo wewe kukutana nao katika maisha ya kawaida, sababu sio level yako..
Kisha connection, huwezi from no where ukatongoza rihanna 😂🤣, ah huo mfano mkubwa, lets say we leo jokate sio level yako, kisha huna connection nae unaweza mtongoza?
Ni kweli unaweza ukawa muuza viazi, ukamtongoza lakini sio hivi hivi labda awe ni mteja wako, uwe na connection ya kuja kuja kwako, mbadilishane namba na hapo ndio uanze chombeza mdogo mdogo, tena wanaume asili yetu ni kujaribu mdogo mdogo. Leo hivi kesho vile, kadri unavyopata upenyo ndio unachoma ndani zaidi.
Mnaweza anzia salam kisha hatua nyingine, kisha nyingine, kuna hatua unafika unaona hapa hapaingiliki unaishia hapo.
Daah hii ni kweli familiaKwa hiyo na wewe kuna mademu wanakuona sio level yao? Hakuna mwanamke mwenye huo mtazamo.
Wale viumbe kwenye dating market wako mwaka wa mbele sana kuzidi wanaume. Hata malaya ana imani ataolewa na bilionea
Ni sisi wanaume tu ndio ambao tunapenda kujiona tumezidiwa level na aina fulani ya wanawake
Kwa hiyo kwenye level na status umeondoka?Hivi hata unaelewa nilicho zungumzia? Hao wote wana access ya kuwa karibu, ambapo ni USANII.
kuwa muelewa bas.
Class haijawahi kutokuwepo duniani. Sio kwa sababu flani alifanya basi fala yoyote anaweza fanya.... Standard zipo na zitaendelea kuwepo. Mwanaume mwenyewe kuna mademu huwezi kupiga hata upewe bure....Leo nimekuwa na mjadala na mwanetu makaveli10 yeye anasema kuna wanawake ni level nyigine hata ufanyaje hauwezi kumpata.
"Kuna mademu bongo we mwenyewe unawatamani lakini level ile si yako na katika maisha haya ya kawaida ya kila siku hamna muingiliano wowote, ni ngumu kutoboa."Sikubaliani na mwanetu Kaveli na wanaume wote wemye mtazamo kama huo.
— Makaveli10
Kosa la kwanza ni kumuona mwanamke fulani level nyingine au special.
Kosa la pili kumuona mwanamke fulani ni tofauti na wengine.
Kosa la tatu ni kuona mwanamke fulani anastahili tu kutongozwa na wanaume fulani tofauti na wewe
Hakuna mwanamke wa level fulani au special, kumbuka:
Ameshalalwa na wanaume masikini kuliko wewe
Ameshalombwa na wanaume wabovu kwa mwonekano kuliko wewe
Kumbuka huyo mwanamke unayemuogopa kuna mwanetu mmoja alishamwambia mimi na wewe basi na demu akamwaga chozi.
Kuna mwamba mwingine ni simu moja tu manzi anaipeleka K inachapwa.
Then kuna mwana tu yuko kitaa alimtoaga bikira na manzi anamkumbuka mwana hadi leo kwa majina yake yote 3
Hakuna mwanamke special wala wa level nyingine so long as sio bikira
Level na status vinaondoka kukiwa na Accessibility, automatically yaani.Kwa hiyo kwenye level na status umeondoka?