Mwanangu toka beijing, kuna namna hujanielewa...
Kwanza tukubali maisha yanaenda kwa level hilo lipo wazi, hapo mwenyewe ulipo kuna manzi hata ikija ikutake unaweza ikataa bila tabu, kuna manzi zinakutolea macho ila hazina ujeuri wa kukufata, tulubaliane hapo..
Nawe pia hali kadhalika..
Mfano tuchukulie wanu wa samia, na wanawake wengine.. kwa level yao jinsi ya kuwaingia ni mbinde kwa sababu kuu mbili, level zenu,
kisha pili connection. Na hii connection huwa inachagizwa na level.
UKiwa na connection nae ndio hapo sasa maujanja yanapochukua nafasi. Na hizi connection ni kama ulisoma nae, uliishi nae zamani, kama bodaboda ni abiria wako etc..
So, level ama niseme status sijui zipo kuna watu ngumu mnoo wewe kukutana nao katika maisha ya kawaida, sababu sio level yako..
Kisha connection, huwezi from no where ukatongoza rihanna 😂🤣, ah huo mfano mkubwa, lets say we leo jokate sio level yako, kisha huna connection nae unaweza mtongoza?
Ni kweli unaweza ukawa muuza viazi, ukamtongoza lakini sio hivi hivi labda awe ni mteja wako, uwe na connection ya kuja kuja kwako, mbadilishane namba na hapo ndio uanze chombeza mdogo mdogo, tena wanaume asili yetu ni kujaribu mdogo mdogo. Leo hivi kesho vile, kadri unavyopata upenyo ndio unachoma ndani zaidi.
Mnaweza anzia salam kisha hatua nyingine, kisha nyingine, kuna hatua unafika unaona hapa hapaingiliki unaishia hapo.