She is not special

She is not special

makaveli10 alikuwa sahihi kbsa.
Kuna wanawake Wana viwango vya juu Sana, yaani anakuzidi mpaka elimu na mengine yote ikiwemo na hela

Kila mwanaume hutongoza mwanamke wa level yake and vice versa.
 
Mwanangu toka beijing, kuna namna hujanielewa...

Kwanza tukubali maisha yanaenda kwa level hilo lipo wazi, hapo mwenyewe ulipo kuna manzi hata ikija ikutake unaweza ikataa bila tabu, kuna manzi zinakutolea macho ila hazina ujeuri wa kukufata, tulubaliane hapo..
Nawe pia hali kadhalika..
Mfano tuchukulie wanu wa samia, na wanawake wengine.. kwa level yao jinsi ya kuwaingia ni mbinde kwa sababu kuu mbili, level zenu,
kisha pili connection. Na hii connection huwa inachagizwa na level.
UKiwa na connection nae ndio hapo sasa maujanja yanapochukua nafasi. Na hizi connection ni kama ulisoma nae, uliishi nae zamani, kama bodaboda ni abiria wako etc..

So, level ama niseme status sijui zipo kuna watu ngumu mnoo wewe kukutana nao katika maisha ya kawaida, sababu sio level yako..
Kisha connection, huwezi from no where ukatongoza rihanna 😂🤣, ah huo mfano mkubwa, lets say we leo jokate sio level yako, kisha huna connection nae unaweza mtongoza?

Ni kweli unaweza ukawa muuza viazi, ukamtongoza lakini sio hivi hivi labda awe ni mteja wako, uwe na connection ya kuja kuja kwako, mbadilishane namba na hapo ndio uanze chombeza mdogo mdogo, tena wanaume asili yetu ni kujaribu mdogo mdogo. Leo hivi kesho vile, kadri unavyopata upenyo ndio unachoma ndani zaidi.
Mnaweza anzia salam kisha hatua nyingine, kisha nyingine, kuna hatua unafika unaona hapa hapaingiliki unaishia hapo.
 
Hata kama awe nani kwangu mimi atabaki kuwa mwanamke na nitamtreat kama mwanamke. Wanawake ni walewale no matter ana cheo au mali.
Plan yangu ilikuaga kugonga geti jirani na ferry pale.

Ila baada ya lile tukio la October nikaghairi, maana mikono imemjaa damu na mie staki shirki.
 
makaveli10 alikuwa sahihi kbsa.
Kuna wanawake Wana viwango vya juu Sana, yaani anakuzidi mpaka elimu na mengine yote ikiwemo na hela

Kila mwanaume hutongoza mwanamke wa level yake and vice versa.
Yaani kumpata asie level yako ni kuna ka zali fulani na ka connection fulani
 
Mashemu zetu ulikutana nao wapi?
Mkuu wale ni level zangu moja tulikutana shule ya st kayumba mgine ni jirani wetu kijijini, mgine alikua house girl wa kaka, nolipata accessibility, sasa we niambie utakutana je na bint wa kikwete ili umuoe?
 
makaveli10 alikuwa sahihi kbsa.
Kuna wanawake Wana viwango vya juu Sana, yaani anakuzidi mpaka elimu na mengine yote ikiwemo na hela

Kila mwanaume hutongoza mwanamke wa level yake and vice versa.
Kwa hiyo hakuna wanawake wenye hizo status wameolewa na wanetu kutoka life la kawaida?
 
Lakini itakuwa haujaelewa context yangu Wala ya makaveli10 .

Nakubaliana na wewe katika hoja yako ila ukweli ni kuwa wapo wanawake ni level ambazo kuwapata inakuwa mtiti.

Maana kigezo kikuu cha kumpata mwanamke ni Hela,gari kali na cheo.

Sasa unakuta huyo mwanamke ana Kila kitu Tena pengine amekuzidi. Yaani amekuzidi hadi exposure ya maisha. Mwanaume automatically unakuwa unafeel inferiority complex.

Hakuna mwanamke anapenda awe namwanamke aliyemzidi.
Tena hapa kwenye inferiority ni mada nyingine.. mwanaume anapenda awe na mtu ambae kamzidi pakubwa, hapa naongelea mwanaume sahihi, achana na hawa wapenda kulelewa. .. na wengine kama kazidiwa elimu basi ye anapambania pesa na kama kazidiwa vyote basi unaluta jamaa hata mioango yake, akili zake, busara zake ni high level, mjanja kuzidi mwenzie, kiasi yule aliyebukua ankubali hapa ni lijitu genius lilikosa shule labda na hela ya urithi tu, lakini ni lipambanaji, lina mipango
 
Mkuu wale ni level zangu moja tulikutana shule ya st kayumba mgine ni jirani wetu kijijini, mgine alikua house girl wa kaka, nolipata accessibility, sasa we niambie utakutana je na bint wa kikwete ili umuoe?
Kama kigezo muwe level moja au humzidi

Kwani huyo aliyemuoa binti wa Kikwete ana utajiri na status kuzidi familia ya mke wake?
 
Toka dunia iumbwe mpaka sasa, katika historia ya wanadamu duniani, katika vitabu vya dini Quran na Biblia, jamii zote za wanadamu na makabila yote, thamani namba 1 ya mwanamke ni Bikira halafu namba mbili ni tabia nzuri halafu urembo na mambo mengine ndio yanafuata. Ni kwamba jamii ya sasa imezoea mitumba walioliwa na wanaume wengi kama 5,10,20,50,100+ na wasichana wenye tabia mbovu ndio wanaanza na kigezo namba tatu cha urembo.
 
Mwanangu toka beijing, kuna namna hujanielewa...

Kwanza tukubali maisha yanaenda kwa level hilo lipo wazi, hapo mwenyewe ulipo kuna manzi hata ikija ikutake unaweza ikataa bila tabu, kuna manzi zinakutolea macho ila hazina ujeuri wa kukufata, tulubaliane hapo..
Nawe pia hali kadhalika..
Mfano tuchukulie wanu wa samia, na wanawake wengine.. kwa level yao jinsi ya kuwaingia ni mbinde kwa sababu kuu mbili, level zenu,
kisha pili connection. Na hii connection huwa inachagizwa na level.
UKiwa na connection nae ndio hapo sasa maujanja yanapochukua nafasi. Na hizi connection ni kama ulisoma nae, uliishi nae zamani, kama bodaboda ni abiria wako etc..

So, level ama niseme status sijui zipo kuna watu ngumu mnoo wewe kukutana nao katika maisha ya kawaida, sababu sio level yako..
Kisha connection, huwezi from no where ukatongoza rihanna 😂🤣, ah huo mfano mkubwa, lets say we leo jokate sio level yako, kisha huna connection nae unaweza mtongoza?

Ni kweli unaweza ukawa muuza viazi, ukamtongoza lakini sio hivi hivi labda awe ni mteja wako, uwe na connection ya kuja kuja kwako, mbadilishane namba na hapo ndio uanze chombeza mdogo mdogo, tena wanaume asili yetu ni kujaribu mdogo mdogo. Leo hivi kesho vile, kadri unavyopata upenyo ndio unachoma ndani zaidi.
Mnaweza anzia salam kisha hatua nyingine, kisha nyingine, kuna hatua unafika unaona hapa hapaingiliki unaishia hapo.
Wanu na Jokate kabla ya hizo status zao za sasa hawakuwahi kuwa na wanaume wa kawaida waliodate nao?
 
Mzee makaveli10 unasubiri connection kwani hukujifunza kwa MRUSI???

Huhitaji connection kumtongoza mwanamke.

Kinachotakiwa ni chance ya kukutana nae tu, iwe chooni, iwe msibani, iwe kanisani hata bungeni.

Cha pili ni kuteka attention yake, aache kuwaza au kufanya anachofanya ili akusikilize wewe(ndio maana mrusi alikua anawasifia tu, kisha wao wanampa attention)

Kila mwanamke anahisia, hivyo tusiogope kuwatongoza.

Hata leo hii ukutane na WANU ukamtongoza, utakutana na majibu mawili tu.

Eidha akupige kofi au akujibu vizuri lakini yote kwa yote atakuona una uthubutu.
 
Kwanza kabisa hakuna binadamu "special" sio mwanaume wala mwanamke, japo kuna kujiwekea standards tu ambazo nazo ni temporary mara nyingi na zinaletwa na access ya materials tu hamna kitu kingine

Kwa mwanamke yoyote ni access tu na hamna mwanamke anaweza kumgomea mwanaume akiamua na kumtamkia anamtaka zaidi ya mara moja, period! Hata awe ni mke wa mtu au awe na status ya namna gani! Ndio maana ya "approach" ukiweza kumfikia tu alipo ni wewe tu kumalizia

Boys ndio huwa wana tendency ya kujihukumu na kujipima hatimaye kujiona hawatoshi!
 
Wanu na Jokate kabla ya hizo status zao za sasa hawakuwahi kuwa na wanaume wa kawaida waliodate nao?
Unaweza kuta kwa namna yeyote kulikuwa na mazingira ambapo walishare vitu flani common, ndio maana ulishasikia dereva au mlinzi wa mtu maarufu wakawa wapenzi, kwa sababu wanakuwa pamoja na wanaongea mara nyingi.
 
Classes na levels zipo kwenye maisha. Kuna wanawake tutawaangalia tu, ila hatuwezi kuwapata.

Likewise, kuna wadada wanatamani wanaume fulani ila hawawezi kuwapata.

Classes zikiwa tofauti, hata kuwafikia tu ni mtihani.
 
Back
Top Bottom