Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Mie ikinitokea ka'a ya huyo dada nahama kazi! Huh
na ikikutokea online ?unamuweka ignore list lol
jf is never boring.....nilikuwa natazama 'picha' kimya kimya..
baadae ikapotea,jamaa alisafiri...(msiseme nilimsafirisha lol)...
Mmh Omba MUNGU yasikukute, utajitathmini mara mia mia hutaelewa kitu, lakini na nyie akina dada (baadhi yenu, sio wote msijenifungulia mashtaka bure) mbona mna mambo hivyo? Baadhi yetu sisi akina baba hua ikitokea na wewe ukamfolia (fall in) huwa tunamaliza chini kwa chini then maisha yanaendelea, sasa wewe hadi utangaze kwa mwenzio, na kesho akitoka nje utasemaje? maana atajaribu kwenda ku-test kisu nje ya kambi iliaone tatizo liko wapi, na hapo ndio hatarudi tena.....
Inauma sana mtu ulie nae kwenye mahusiano kumpenda mwingine....inaleta maswali mengi na majibu sifuri....
Mshikaji anaamini yuko sahihi kukasirika na sasa hivi amekuwa more than insecure kwani shemeji yetu kwa kweli wamo. Imeanza kuleta mgogoro usio wa lazima...
Kweli kuwa attracted bila kufanyia kazi ni kucheat na je kuna hekima kumwambia mwenzio majaribu unayoyapata huko kazini na usipomwambia yakafikia pabaya nani wa kulaumiwa?