Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 197
- 437
Hii siyo picha ya mtandaoni. Onesha basi linki. Acha ujingaBange mbaya sana π π, hiyo picha ipo mitandaoni na hauna trademark nayo .
Mimi sio Adriz unajichoma mwenyewe kwa mods ni kosa ambalo huna uthibitisho nalo
eli -DEFIANT- cohen njoo uone adriz ameanza kujiongelesha mwenyeweππSeran mshonee Kaka yako mywa Visungura eli -DEFIANT- cohen Hilo shati bonge la mtoko
adriz ni mjanja sana. Anabadilika kama kinyonga, kwa mfano anaweza kuwa mwislamu kwa ID Moja, huku kwa ID nyingine yeye ni mkristo, anaweza kuwa shabiki wa Simba na kuwa shabiki wa yanga kwa ID nyingine nk π.Mara ya kwanza nilidhani eli cohen na castle lite wanatania ila hata mimi nimekuja kugundua kajamaa kadriz ni kajanja sanaπ
Ngoja nikuletee link , Kisha nikuseme mpka uone aibuHii siyo picha ya mtandaoni. Onesha basi linki. Acha ujinga
@βAdriz ni mjanja sana. Anabadilika kama kinyonga, kwa mfano anaweza kuwa mwuslamu kwa ID Moja, huku kwa ID nyingine yeye ni mkristo, anaweza kuwa shabiki wa Simba na kuwa shabiki wa yanga kwa ID nyingine nk π.
Mbusii bhana! π.Kajanja sana kajamaπ€ͺ
hata pale vinyago mpakani mwenge yamejaa tele, watalii wa ndani ndio hufanya shopping zetu pale πMashati kama hayo yanauzwa pale Tanganyika pekaz, kawe.
Nenda kajipatie kwa bei nafuu π.
Chizi Maarifer kazi ni kwako.hata pale vinyago mpakani mwenge yamejaa tele, watalii wa ndani ndio hufanya shopping zetu pale π
Nimeufuatilia kwa umakini huu uzi naona una some sort of a violence , Kwa sababu za kiusalama nimeona niupuuzie nisicheze Ngoma yao.
Inachanganya sanaUone tu hivi, huu uzi una wenyewe huu, jichanganye mwenzangu na mimi.
Ngoja niwahi nayapenda haya mashati ya kisabatoπ₯Seran mshonee Kaka yako mywa Visungura eli -DEFIANT- cohen Hilo shati bonge la mtoko
Nitafanyia kazi mkuuChizi Maarifer kazi ni kwako.
Dogo bwege sana. Huwa anajiona kama mtoto wa Benjamin Netanyahu vile πMyahudi wa Itilima huyo jamaa. π