hahahhah!! Hembu nipe hii ilikuwaje .hahah
Sharobaro alipora simu... akawa analia...Jamaa akamwambia "sharobaro kwa nini unaendelea kulia wakati cm imeshaporwa" YEYE AKAJIBU" sililii simu nalilia line meeeen"
Sharobaro alipora simu... akawa analia...Jamaa akamwambia "sharobaro kwa nini unaendelea kulia wakati cm imeshaporwa" YEYE AKAJIBU" sililii simu nalilia line meeeen"
Oooh kumbe.Wanasema eti ni "mabitozi"
Sasa mkuu ulitaka aache alama za kukanyagwa kwenye mokasini yake aliyoipiga dawa ya viatu?wapaka poda hawa , ni zaidi ya mabrother-men. Ukimgusa/ukimkanyaga kwa bahati mabaya anajifuta
Supra ndo nini?
Yooo mwizi, sio fresh baaab! Heeey mwizi, kamata mwizi. Lol. Hapo ashalizwa ati
yote tisa kumi ni sharo aliyeenda kwa babu "Lolly on do" na glass ya wine atiliwe dawa yake.
Sharobaro kajiunga na jeshi la wananchi, wamekaa mstari kwaajiri ya kukaguliwa gwaride, Afande akamfuata sharobaro akamuuliza ww mbona ujishughulishi, sharobaro akamjibu, Yooh Afande sijazoea mabuti nimezoea SUPRA men!!!!
Hahahaa its funny na hawa masharobaro.
Ukiwa sharo baro mwenye swaga ambazo sio expensive unaitwa sharouharo.