Sharobaro Jeshini.

Sharobaro Jeshini.

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
866
Reaction score
778
Sharobaro kajiunga na jeshi la wananchi, wamekaa mstari kwaajiri ya kukaguliwa gwaride, Afande akamfuata sharobaro akamuuliza ww mbona ujishughulishi, sharobaro akamjibu, Yooh Afande sijazoea mabuti nimezoea SUPRA men!!!!
 
nimecheka
kwanza kichwa cha habari tu sharobaro jeshini nilijua ni utumbo tu ........thnx for making my day
 
Masharobaro ni hatari hata kwa babu loliondo walidai mrija wa kunywea dawa.
 
Hao "sharobaro" ndio watu/vijana wa aina gani tena!?
 
supra.jpg mkuu wa sharobaro.jpg
 
Masharobaro wamezidi ka...unajua hata gongo la mboto waliumia sana masharobaro ktk harakat za kukimbia mabomu kisa hawataki kutoka jasho men.
 
Gombs kwenye mabomu alitaka akaoge kwanza ndo akimbie wakati mabomu yanalipuka

nasikia na majina ya sehemu wanayaita kisharobaro...eti magomeni mikumi wanapaita MIGO M.I ten
 
Daa napenda sana vituko vyao. Kuna yule alipolwa sim akawaa anasema hata line BaaB
 
Yooo mwizi, sio fresh baaab! Heeey mwizi, kamata mwizi. Lol. Hapo ashalizwa ati
 
Back
Top Bottom