Sharobaro Jeshini.

sharobaro kaenda kwa babu anaambia hamna vyoo akamalizie shida yake porini eti nasubiri toilet paper men hadi akaachia kubwa kwenye trouser yale lol usharobaro kaaazi kweli kweli........
 
Hivi kwenye shughuli wanaweza kweli au kijibao 1 tu hoi tena cha sekunde 2:lol:
 
yule sharobaro aliyeenda Loliondo baada ya kupewa mrija ili anywe dawa akauliza una ice cubes baab?
 
:laugh::laugh::laugh::laugh:
mwna hawa masharobaro mbona wakoma mwaka huu........
 
Sharobaro kapelekwa o'bey awekwa rumande anauli yoo afande godoro liko wapi man??Afande akazibua bao godo kwa mamako siyo hapa!Mwingine sharobaro mkimbizi anapewa mkate na wahudumu wa redcross uwanja wataifa anapewa slesi mbili anaulizwa mbona huli wewe??akajibu"Yoo nasubiri waniletee jam na blueband man!"
 
Back
Top Bottom