Share nasi matukio yako ya ukuaji

Hahaaa mkuu Certified Hater matukio yako yale uwa ni vichekesho sana, ndo vile tu umetoroka… ukirejea utajibu.
 
Ilibidi ukae na walimu uwaeleze, tena uwazuge kuwa umeona wala sio ndoto[emoji1787][emoji1787]
 
Ilibidi ukae na walimu uwaeleze, tena uwazuge kuwa umeona wala sio ndoto[emoji1787][emoji1787]
😂 huyo mwl alikuwa mkali sana nisingeweza kumwambia ila nilijiongeza kitoto nikabuni mbinu mbadala.
 
Namba 3 nilikuepo!
Namba 5 Kuna ndugu yangu alihusika pia
 
mkuu umefika advance kweli... maana nimejitahidi kuelewa ulicho andika akili inagoma...!​
 
Fika ofisini kesho! Lile Bomba lazima mtengeneze
 
Hahaaaaa, sipati picha hilo yowe lilikuwaje.
 
Hahaaaaa
 
sio Tanga hiyo...handeni huko🤣🤣🤣 nahisi tumesoma wote wewe mwamba
 
Mwaka 2000, form 2G1, kuna kosa likifanyika sikuwa nahusika, Afande Babu Chacha, alinifanya kama sample, alinishika mkono akanipiga fimbo kwa speed sana bila idadi.

Sikumbuki kuchapwa tena badda ya hapo.
 
Nakumbuka enzi za Utoto miaka ya 1998 kulikuwa na ule mchezo wa Kulinda pale unapoona mwenzako kakamatawa na wale wanaokamatwa kwa kuguswa wanasimama nyuma yako halafu wewe unakuwa umeshilikia mkono mmoja kwenye mti na mwingine anakuwa ndio Mlinzi kumzuia yule anayekuja kuwaokoa waliotekwa, Sasa kuna siku Mimi ndio nilikuwa Mlinzi nazuia jamaa asiwaokoe Jamaa alikuja kwa kasi alinipiga kichwa mpaka nikapasuka mdomo. Nikaenda kushonwa nyuzi saba. Kule Dispensary Dk aliyekuwa ananishona mikono yake ilikuwa inanuka M@vi nadhani alitoka chooni halafu hakunawa na sabuni. 😅😅😅
 
Dah daktari kama daktari yaani Tanzania ufe kwa mawazo utakuwa umejitakia tu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmecheka
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nitasimulia badae
Nimeishia kusoma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…