Shape ni majaaliwa

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,973
6,606
a31b8277ce6ddbef1678a466ff00dd9c.jpg
 
Yaani unamfananisha Mungu na huyo muanikaji chupi ya Pink?..You gotta be kidding. .

Hata mtoa mada hajaongelea mavazi ameongelea umbo au shepu....
Hata comment yako #3 imejiuliza kama huyo ni binadamu au aina gani sijui ya puto hapo ukimaanisha umbo lake au shepu yake hujaelewa vimeundwaje undwaje. ......

Usitukane uumbaji ungali unazaa labda kama umefanya vasectomy...

Am not kidding.... you stop kidding God....

Anyways.... It was just my views you can just ignore them though they will stick in your mind...
 
For the first time naona umekuwa upset,...Although it was meant as a joke...

Sorry kwa kutoielewa but I dont regret a bit..
Maana nina hakika huwezi leta picha ya namna hiyo ukaweka na caption ya "Tumeumbwa kwa Sura na mfano wa Mungu".
 
Inaelekea huyo sista anahudhuria vikao vingi r kila wakati na virefu sana
 
Back
Top Bottom