Huu uzi bila ya picha ni sawa tu na mgombea wa ccm kushinda uchaguzi kwa 98%Wanajitambua ,
Wako na akili,
Wanasura nzuri,
Wananiheshimu,
Wanamaumbile mazuri (shape za kuvutia)
Lamomy anakupa poleNiko fit sana mkuu wangu
Hata mimi nimejiuliza sana.Ukisema "wana maumbile mazuri" unamaanisha nini?
Yote ya yote ila hata yule mdada secretarybird ujue ni mzuri sana.Wanajitambua ,
Wako na akili,
Wanasura nzuri,
Wananiheshimu,
Wanamaumbile mazuri (shape za kuvutia)
Mkuu, andaa kabisa mlenda vuguvugu, utamwaga hadi ubongo 😋Mkuu nipo season 1 na sijui ndio ipo hiyohiyo ya spatercus ingawa ninatarajia kuimaliza.