Kutokuwepo ajira mtaani sio sababu ya kuacha kufurahia kuhitimu. Halafu usifikiri Tanzania nzima tuna share wazazi na wewe wengine wazazi wetu wanajua watu bana TUNA CONNECTIONToka hii Novemba ianze, kila siku tunaona kwenye status za wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini huku wakiwa na nyuso za bashasha , simu nzuri , kujiremba kwa kila aina...kuanzia nywele mpaka kitu.. hongera zao.
Swali langu, je , wanaelewa ugumu wa ajira huku mtaani kwa miaka nenda rudi? Maelfu ya wahitimu kuanzia mwaka 2014 mpk 2020 wapo jobless mtaani na wengi wao wameshasahau mpk taaluma zao. Wamejishikiza kwenye uWakala wa mpesa, Tigopesa na Airtel Money ..
CV haziuziki tena. Bila connection hutoboi.
Kilio cha ajira no janga la kitaifa. Wao furaha wanaitoa wapi?!View attachment 2024148View attachment 2024149
Whatever the case....si bora wa primary kuliko wewe baamedi
labda Tanzania, mkuuMaana yangu ni kwamba, uchumi duniani unaongozwa na ambao hawajasoma,,, wenye degree zao wengi wao wameishia kuajiriwa na ambao hawajasoma, wengine kukosa makazi na kutegemea wazazi wawalishe na videgree vyao
labda Tanzania, mkuu
hakuna kitu kama hicho, hebu fuatilia Elimu ya tajiri mkubwa duniani. Bwana Elon Musk.Co tz tu, nchi nyingi tu chief
Waache wafurahie accomplishments zao. They will cross the bridge when they reach it.Toka hii Novemba ianze, kila siku tunaona kwenye status za wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini huku wakiwa na nyuso za bashasha , simu nzuri , kujiremba kwa kila aina...kuanzia nywele mpaka kitu.. hongera zao.
Swali langu, je , wanaelewa ugumu wa ajira huku mtaani kwa miaka nenda rudi? Maelfu ya wahitimu kuanzia mwaka 2014 mpk 2020 wapo jobless mtaani na wengi wao wameshasahau mpk taaluma zao. Wamejishikiza kwenye uWakala wa mpesa, Tigopesa na Airtel Money ..
CV haziuziki tena. Bila connection hutoboi.
Kilio cha ajira no janga la kitaifa. Wao furaha wanaitoa wapi?!View attachment 2024148View attachment 2024149
Watu gani hao ambao hawajasoma wanaongoza uchumi wa dunia hebu twambieMaana yangu ni kwamba, uchumi duniani unaongozwa na ambao hawajasoma,,, wenye degree zao wengi wao wameishia kuajiriwa na ambao hawajasoma, wengine kukosa makazi na kutegemea wazazi wawalishe na videgree vyao
Yan hata ukiangalia wale watu ambao tunasema ni Top ten madon duniani wamekula shule hatari ! Hakuna mwenye level ya chini ya elimulabda Tanzania, mkuu
Watu gani hao ambao hawajasoma wanaongoza uchumi wa dunia hebu twambie
Yan hata ukiangalia wale watu ambao tunasema ni Top ten madon duniani wamekula shule hatari ! Hakuna mwenye level ya chini ya elimu
Watu gani hao ambao hawajasoma wanaongoza uchumi wa dunia hebu twambie
We waache wenzio acha kuwatisha we jini ninjToka hii Novemba ianze, kila siku tunaona kwenye status za wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini huku wakiwa na nyuso za bashasha , simu nzuri , kujiremba kwa kila aina...kuanzia nywele mpaka kitu.. hongera zao.