Shangwe za wahitimu wa vyuo 2021 wanaelewa ugumu wa ajira mtaani ?

Itakuwa wachache munoo, bilgate naye amesoma mkuu?


Achana na others countries. Hapa hapa bongo tu, layzer, bahalesa, gaki n.k, wachimbaji wa madini wengi 2uu wameishia praimary na secondary alakini wanahella yakufa mutu. Wenye videgree vyao wanahaha kupata ajila.
Bilgate kapiga shule mkuu
 
Mimi namshukuru Mungu nimempatia mdogo wangu sehemu ya kujishikiza kabla hata hajafanya hayo masherehe yao, kwahiyo kafanya hizo mambo akitokea kazini.
 
Back
Top Bottom