Jionee mwenyewe, utatamani nawe uende hijja:
View: https://youtube.com/shorts/Qjlu_7NlaNQ?si=DiHE2dJo82Qujlfh
Imani, Imani, Imani...si ajabu huyo Mungu hayupo, does not exist at all!
Jionee mwenyewe, utatamani nawe uende hijja:
View: https://youtube.com/shorts/Qjlu_7NlaNQ?si=DiHE2dJo82Qujlfh
Jionee mwenyewe, utatamani nawe uende hijja:
View: https://youtube.com/shorts/Qjlu_7NlaNQ?si=DiHE2dJo82Qujlfh
ujue kuwa tuna Mungu wetu aliyetia muhuri mioyoni mwetu, ukituambia habari za uislam hatukuelewi kabisa, tunaona unadanganya tuUislamu ni mhuri mwema katika moyo.
Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.
Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.
Mimi ni Mkristo ila nimeipenda hii.
Mungu awasaidie katika makuzi ya watoto wenu pia.
Insha ALLAH
Usiokuwa uislamNi upi muhuri usio mwema?
Wanaenda wengi sana huko, what so special about this?
Na ww uende sasa ukafanye umra ama nigani?
Nadhani hujaelewa, wengine huwa wanaenda every day? Why kwa huyu iwe special? Matajiri wangapi wanaenda na wanajipost?Hiyo ni moja katika nguzo tano za Uislam. Kila awezae kuhiji anapaswa kuitimiza nguzo hiyo.
Nguzo tano za Uislam ni Shahada, salah, zakah, sawm na hajj.
HongeraAlhamduliLlah, mimi nilijaaliwa kwenda zamani.
Mkuu hii ni kweli Snura alikuwa msanii wa maigizo na muziki yule aliyeimba Chura mpaka wimbo ukafungiwa ila kwa sasa analingania diniUislamu ni mhuri mwema katika moyo.
Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.
Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.
Mkuu hii ni kweli Snura alikuwa msanii wa maigizo na muziki yule aliyeimba Chura mpaka wimbo ukafungiwa ila kwa sasa analingania dini
Suma Lee, Kali P wote wamerudi kwa Allah
Hata kijana wetu Diamond pamoja na kuzaa nje ya ndoa ila bado ana uislamu ndani yake , amejenga Nyumba ya Allah
Mwijaku na mambo yake bado anamkumbuka Allah alienda Umrah
Nasikia huko huwa inaruhusiwa kuchanganyika wanaume kwa wanawake.Raha ya ibada za Kiislam hazibagui nani wala nani. Kwa Allah mbora ni Mcha Mungu.
ujue kuwa tuna Mungu wetu aliyetia muhuri mioyoni mwetu, ukituambia habari za uislam hatukuelewi kabisa, tunaona unadanganya tu
Aliamdulaha.Mkuu hii ni kweli Snura alikuwa msanii wa maigizo na muziki yule aliyeimba Chura mpaka wimbo ukafungiwa ila kwa sasa analingania dini