Shangazi yupo hijja.

Shangazi yupo hijja.

Kwamba ujitape tape kwenda kutalii kwa waarabu huku umeacha nyumbani Kuna watu wanalala njaa na kuteseka, heri ujipige video za kutembelea vituo vya watoto mayatima, hiyo dini ya muarabu ni ujuha kwa kwenda mbele.
 
mamako bado anavaa chupi? Mtazame vizuri.
Jibu hoja na siyo vioja ..........maca huwa hamvai kitu zaidi ya kujizungusha mashuka.........maana ninyi wenyewe hasa kina mama mlisema mmechoka kupapaswa mkiwa kwenye jiwe jeusi..........yaone uchi uchi tu
 
HIvi tofauti ya waislam na wakristo na waislam ninini
Tofauti kubwa ni kuwa ukristo unawaaminisha waumini wao kuwa ni kondoo wa kungoja kuchungwa na wachungaji wao. Uislam unawaaminisha waumini wao kuwa wao ni binadam wasiohitaji kuchungwa.

Utajaza mwenyewe.
 
Nasikia huko huwa inaruhusiwa kuchanganyika wanaume kwa wanawake.
Sijakuelewa namaanisha nini?

Ibada ya hijja mwanamke ni lazima awe ameambatana na maharim wake wa kiume.
 
Badala awaombe waislamu matajiri wawasaidie masikini hapa Tanzania nyie mnapeleka pesa Kwa wenye nazo uarabuni
 
Tofauti kubwa ni kuwa ukristo unawaaminisha waumini wao kuwa ni kondoo wa kungoja kuchungwa na wachungaji wao. Uislam unawaaminisha waumini wao kuwa wao ni binadam wasiohitaji kuchungwa.

Utajaza mwenyewe.
Bado hujanijibu. Ikiwa huyu ni mkristo, na hajawa kuonana na Mungu wala Yesu na ikiwa wewe ni muislam na hujawah kumuona Mungu wa Muhammad tofauti yenu nini? Maana wote mmeprogramiwa. Hakuna mwenye ithibati kuwa hicho anachosema kina ukweli zaid ya kukaririshwa tangu ukiwa mdogo. Wote mmerithi iman. Huyo mmoja angezaliwa saudia angekuwa muislam na mwingine angezqliwa roma angekuwa mkristo. Au na hiz fact mnazikataa pia
 
Back
Top Bottom