Mzee ngalauka
Senior Member
- Sep 29, 2024
- 173
- 296
UkafiriNi upi muhuri usio mwema?
UkafiriNi upi muhuri usio mwema?
Mash-Allah ipo siku nitaenda huko nikijaaliwa
Ila haruhusiwi kuendesha ibada au kutoa kauli mbele ya wanaume(kiongozi)Raha ya ibada za Kiislam hazibagui nani wala nani. Kwa Allah mbora ni Mcha Mungu.
Mama yetu dini gani? Au hana dini huyu?Uislamu ni mhuri mwema katika moyo.
Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.
Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.
Sana zinaliwaaa sanapesa za visa za utalili zinapigwa hatari
Ukafiri ni nini?Ukafiri
Uislamu ni nini?Usiokuwa uislam
Kama mzee Yusuph naeMkuu hii ni kweli Snura alikuwa msanii wa maigizo na muziki yule aliyeimba Chura mpaka wimbo ukafungiwa ila kwa sasa analingania dini
Suma Lee, Kali P wote wamerudi kwa Allah
Hata kijana wetu Diamond pamoja na kuzaa nje ya ndoa ila bado ana uislamu ndani yake , amejenga Nyumba ya Allah
Mwijaku na mambo yake bado anamkumbuka Allah alienda Umrah
Kwa mujibu wa nani?Usio wa Kiislam.
Hivi hapo kwa ndani ndio chupi hana ??maana nasikia huko ni majuba tupu full mtetemo na kubambiana
Hivi hapo kwa ndani ndio chupi hana ??maana nasikia huko ni majuba tupu full mtetemo na kubambiana
Saigon hazimtoshi yuleHata mwana Hip hop maarufu wa zamani hapa Bongo aitwaye Saigon huwa anaishika dini, anachomoka, kisha anarudi tena. Yaani hivyohivyo.
But all in all Wokovu unatoka kwa ALLAH
Inatusaidia nini kama nchi?!