GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 5,971
- 8,526
MARA NYNG ALAH NI KATILIUislamu ni mhuri mwema katika moyo.
Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.
Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.