Nadidi, Umesema shangazi tangu aolewe hajapata mtoto! Ona mambo anayokufanyia ... tambua kuwa huo msukumo unaomjegea hamu na tamaa kukufanyia hivyo unauhusiano mkubwa sana na mambo ya-hormones-zake kukaa kiume.
Kumsaidia Shangazi na Mojomba ni kufanya familia ijue Matatizo aliyokuwa nayo Shangazi. Ni kumsema bila kujali matokeo yake kwako. Ni kumsema kwa Mjomba au Mwanafamilia mwingine... Nakuhakikishia inaweza kumpelekea tatizo lake kufahamika kushughulikiwa ana anaweza kupata mtoto !! Kumbauka hii ndio maana ya upendo!!
Unaweza kupata misukosuko kidogo mwanzoni ...lakini hatimaye utakuwa mshindi! Mseme alafu njoo ni PM nini kimetokea.. Nasema Kamseme ... Tena sasa hivi!!!