Shame on you ITV tuwasusie hawa

Shame on you ITV tuwasusie hawa

jibu hoja usiwe na piriri nyingi

Hoja ndiyo hiyo kuwa mnatia aibu wanaume wazima mnakubali kuingia mkenge wa kubinya habari kuiokoa CCM wauaji? Ngojeni soon kwani mmeshaingia kwenye blacklist na your era is soon coming to an end.
 
Alieanzisha hakuanzisha ili asikilize na mkewe,itv ipo kwa watu wote na ile superbrand ilipata kwa sababu ilikubalika kwa watu wengi,watu hao ndio hawa wanaotoa mapendekezo yao kwenye channel waliokuwa wanaikubali,hilo TBC hata competing na channel 10 haliwezi.

kinachokupa ukichaa ni kipi hasa pale ITV,ucjiseme na wewe umechangia kura kwenye super brand,wew ni kati ya wale wanaosapot tv zingine,sisi 2nayoifaam ITV ndo tumeipa super brand na sio nyie so tunaitetea ikitajwa kwenye hoja za kipuuz
 
Hoja ndiyo hiyo kuwa mnatia aibu wanaume wazima mnakubali kuingia mkenge wa kubinya habari kuiokoa CCM wauaji? Ngojeni soon kwani mmeshaingia kwenye blacklist na your era is soon coming to an end.

kama unataka kufa uanaume wa mtu mpe mkeo au dadako,sas ni ivi ayo maneno yako apo juu kawaeleze wenzako mkishakunywa viroba,na msiogee chochote juu ya ITV The only super brand in Tanzania
 
Sikujua kuwa hata ninyi mlishakuwa na wanaume CCM kakamzima unajidhalilisha kisa vibiskuti vya kupewa na CCM? Ona mmenogewa hadi wamewaharibu kabisa!!! Aibu sana
 
kinachokupa ukichaa ni kipi hasa pale ITV,ucjiseme na wewe umechangia kura kwenye super brand,wew ni kati ya wale wanaosapot tv zingine,sisi 2nayoifaam ITV ndo tumeipa super brand na sio nyie so tunaitetea ikitajwa kwenye hoja za kipuuz
We akili yako kweli inamatege,unafikiri uhuru fm ile au tbc mnayoipigia promo,kama kupiga kura kwenu itv kuwa superbrand basi tbc na uhuru fm vingeongoza,waganga njaa kama nyie mnasubiria hisani tangu lini mkaipigia kura itv,wacha waliopiga kura waongee kinabo wewe...
 
jambo usilolijua sawa na usiku wa kiza,sas we wenge na akili yako ya mgando,unataka kila ki2 kiende jinsi unavyotaka?usipende kupandikizwa vitu visivyo na tija kama unavyofanyiwa ka kababu kenu kanakoiba wadada wa watu afu eti anataka urais,stupid,,mtakukuruka sana
 
Tulia mende wewe,unafikiri nchi ya babaako hii chichman wewe,ubora hauji kutoka hewani unatoka kwa watu,hatuishi kwa kusadikika kila kitu kipo undercontrol...lastly Dhaifu hivi anabibi ngapi.?
 
mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine.

Uhuru wa kuongea unao japo sidhani kama umdkuwa mtu wa kufikiri na kutafakari kwa kina kabla ya kuongea ama kuweka post hapa kwani aihitaji hata akili za mbayuwayu kujua kama CDM lazima wangeyachukua kata zote arusha na kusingikua na 7bu ya kujilipua tena huku polic wakiongeza risasi na mabomu ya machozi juu huku dhahiri tukijua polic wanatumika na ccm kisiasa na kama ulikua hulijui hilo angali mpaka kuku wetu nyumbani analijua siju wewe tukuweke kundi gani la vichaa
 
jenga hoja mambo gani ya kuombeana ki4,angaliabyasikukute wew
usije ona kumbe wewe ndiye kimeta wa mpui wa fb, ni moja ya waanzisha hoja choko tu. Kwa ufupi hakuna anayewafagilia ccm zaidi ya wajinga wachache wanaojipendekeza kupewa vyeo siku za usoni. Nyie subirini tu kimbunga kinashuka! Hakuna ambaye huweza kuzuia mabadiliko. Muulize shemeji yako Mubarak, kaka yako Gaddafi n.k. wako wapi?? Muulize pia na jamaa yako wa Iran. Nyambafu ninyi. Badala muondoke vizuri nyie mnataka kipigo cha paka.
 
mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine.

Kichwa chako kimejaa maji.....!
 
Tulia mende wewe,unafikiri nchi ya babaako hii chichman wewe,ubora hauji kutoka hewani unatoka kwa watu,hatuishi kwa kusadikika kila kitu kipo undercontrol...lastly Dhaifu hivi anabibi ngapi.?

naona kiroba kimepungua,turudi kwenye hoja...
 
usije ona kumbe wewe ndiye kimeta wa mpui wa fb, ni moja ya waanzisha hoja choko tu. Kwa ufupi hakuna anayewafagilia ccm zaidi ya wajinga wachache wanaojipendekeza kupewa vyeo siku za usoni. Nyie subirini tu kimbunga kinashuka! Hakuna ambaye huweza kuzuia mabadiliko. Muulize shemeji yako Mubarak, kaka yako Gaddafi n.k. wako wapi?? Muulize pia na jamaa yako wa Iran. Nyambafu ninyi. Badala muondoke vizuri nyie mnataka kipigo cha paka.

we paka toa hoja jina langu si ishu,leo wale wanaokunywa bia amewaagiza mfanye nini?
 
siko kisiasa ka we kunguru,,mimi ni mwenyenchi ninayewafukuza msijeharibu taifa langu
 
Hongera sana ITV siasa za maji taka hazifai
 
Ingekuwa imetokea kwenye mkutano wa ccm, nazani tbc hadi sasa hivi wangekuwa wanarusha matangazo live toka Arusha kuhusu hilo tukio.
 
Baada ya maagizo kutoka CCM ITV ikapiga kimya kurusha tukio kubwa la shambulio la Bomu Arusha ktk mkutano wa CHADEMA ili kwa makusudi wa Tanzania wasijue uovu unaofanya na Chama tawala. Dhambi hii kubwa nanyi itawahusu kwa sababu mnatumika vibaya kutangaza propaganda mbaya za Nape na Mwigulu Nchemba zinazoleta madhara kwa wa TZ. Watu walisubiri kwenye luninga zao kusikia na kuona mkirusha habari hii lakini mkaipotezea ili kuiokoa CCM shame on you nanyi hamna tofauti na wauaji wale kwani mmeridhia matakwa yao. Mko kuwa arifu waTZ kila kinachoendelea bila kuwa na mrengo fulani lakini mmekuwa mkitumika vibaya.

Kwenye progress za kampeni mme wa Cover CCM kama mahojiano mliyofanya na Nape a.k.a mwuuaji na kurusha hotuba za Lowassa huku kwa maksudi mkiwachinjia chini CHADEMA. MMefanya hivyo makusudi ili CCM ishinde na kwa sababu wao ndo wanawabebba endeleeni wanafiki wakubwa kuficha ukweli. Dawa ni sisi kwa pamoja kuinuka na kuisusia TV yenu ya ki CCM ili muendelee vema kukinadi chama chenu.
Haa haa haa! Hiki kibabu cha Machame kitaacha warushe habari kama hizo kweli? Unajua niliposikia eti siku hizi ni ki-dakta nilidhani ni mzaha, lakini naona kilidhamiria siku nyingi kisife bila kuitwa dakta
 
naona kiroba kimepungua,turudi kwenye hoja...
Bora upige kiroba kina tbs kuliko kutumia mchicha wa mang'ana...wewe huna jipya tbc ni kichaka cha mafisadi hatupendi itv ya wanyonge iwe kama tbc...
 
we paka toa hoja jina langu si ishu,leo wale wanaokunywa bia amewaagiza mfanye nini?
Jina lako ugonjwa wa mifugo angalia usijeanza kubweka hapa,lumumba leo w/end salio halisomi umekesha kunywa maji ya madafu..
 
Back
Top Bottom