Shame on you ITV tuwasusie hawa

Shame on you ITV tuwasusie hawa

mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine.

Kujifanya unamawazo ya kifikra kumbe na wewe mbululu eti unajiita walcote, mwehu mkubwa wewe.
 
Jina lako ugonjwa wa mifugo angalia usijeanza kubweka hapa,lumumba leo w/end salio halisomi umekesha kunywa maji ya madafu..

Sitabu me ninaenunua pekee,kuliko wew unaelishwa na kupewa viroba afu wapanua domo na kuambulia kichapo
 
Yani mjilipue wenyewe bado mtake coverage, mmekosa mlichokuwa mnatafuta (coverage) coz mmeshtukiwa sasa mnalialia ovyo jipangeni upya
 
Kujifanya unamawazo ya kifikra kumbe na wewe mbululu eti unajiita walcote, mwehu mkubwa wewe.

walcot leo amewaingizia mpaka mwisho,
>>>mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine<<<<.
 
Sitabu me ninaenunua pekee,kuliko wew unaelishwa na kupewa viroba afu wapanua domo na kuambulia kichapo
Wale njaa inawasumbua kama wewe mnywa chumpumu,huwezi kaa meza moja na watu wa viwango,njaa inakusumbua wewe hadi kichwani
 
Nitakubaliana na wewe kama serikali na jeshi la polisi watafanya uchunguzi wa dhati na kuwabaini na kuthibitisha watu hawa wanaorusha mabomu na kuua watu! Kama hawataweza kufanya hivyo, serikali haiwezi kukwepa lawana juu ya huu uvunjaji wa amani ya nchi yetu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kwan kwatukia hajakamatwa mtu hadi sasa...?
 
waislamu wakilalamika mnasema hawana elimu. sasa kelele za nini ?. Tujipange upya hii nchi inaitaji ukombozi wa kweli
 
Jamani,wote wenye mawazo ya kulalamikia vituo vya radio/tv za watu binafsi...
Anzisheni vituo vyenu ili mtangaze yale mnayoyataka ninyi. Huwezi kupiga kampeni hapa ili mtu asiangalie/kusikiliza kitu ambacho wewe hupendi...huku ni kupoteza muda na bytes zako bure.
TBC,Habari Leo na Daily News vipo,tena vinajiendesha kwa kodi zetu, vifuatilieni hivyo...vilalamikieni hivyo. Pia ni upuuzi kulalamika kama hakuna solution.
NAPITA TU. ILA HALI SI SHWARI MUNGU ATUNUSURU. MKUU ijoz. BADILI AVATAR YAKO ILI TUTOFAUTIANE TAFADHALI.
 
leo wamewapa vya mia??watawaua sasa,,,,au hawajakusanya kwenye mkutano wa jana nin
Uliona wapi tbs ikauzwa 100,unafananisha chimpumu na product za tbl,serengeti,kinana...dogo embu kaoge kwanza na upige mswaki bhana utafikiri gari ya city...
 
Uliona wapi tbs ikauzwa 100,unafananisha chimpumu na product za tbl,serengeti,kinana...dogo embu kaoge kwanza na upige mswaki bhana utafikiri gari ya city...

ok poa,vip ITV leo wamerusha vilivyo taarifa za arusha?
 
Nakuchukia wewe, natamani upate ajali ufe! Maana ni mjinga sana wewe.

Acha ufala wewe, matukio muyaandae wenyewe halaf mnatafuta huruma ya media, achen kuhadaa watu huo ugomv wenu na ccm sisi unatuhusu nini?
 
Back
Top Bottom