Nakuchukia wewe, natamani upate ajali ufe! Maana ni mjinga sana wewe.
hapana shaka kabisa tuiweka itikadi pembeni CHADEMA ni chma chenye CREDIBILITY ya hali ya juu ni kweli kuwa watawala hawana jipya bali kutumia nguvu ya dola.kama watanzania tuombe mungu sana kama Taifa tupo katika wakati mgumu kuliko ilivyokuwa wakati wa vita ya kagera
Sidhani kama mtu mwenye akili timamu waweza iponda itv kuwa ni ya ccm,yaani pamoja na yote wanayoyafanya itv kwaajili yenu(cdm)leo mnaiponda inaonyesha jinsi gani mmezoea kulalamika
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Usikurupuke,maagizo gani yalitolewa na ccm?WEWE na NANI misusie ITV,Tatizo lako unaona kila linalofanyika vibaya ni ccm,Jaribu kutulia ulete hoja
Baada ya maagizo kutoka CCM ITV ikapiga kimya kurusha tukio kubwa la shambulio la Bomu Arusha ktk mkutano wa CHADEMA ili kwa makusudi wa Tanzania wasijue uovu unaofanya na Chama tawala. Dhambi hii kubwa nanyi itawahusu kwa sababu mnatumika vibaya kutangaza propaganda mbaya za Nape na Mwigulu Nchemba zinazoleta madhara kwa wa TZ. Watu walisubiri kwenye luninga zao kusikia na kuona mkirusha habari hii lakini mkaipotezea ili kuiokoa CCM shame on you nanyi hamna tofauti na wauaji wale kwani mmeridhia matakwa yao. Mko kuwa arifu waTZ kila kinachoendelea bila kuwa na mrengo fulani lakini mmekuwa mkitumika vibaya.
Kwenye progress za kampeni mme wa Cover CCM kama mahojiano mliyofanya na Nape a.k.a mwuuaji na kurusha hotuba za Lowassa huku kwa maksudi mkiwachinjia chini CHADEMA. MMefanya hivyo makusudi ili CCM ishinde na kwa sababu wao ndo wanawabebba endeleeni wanafiki wakubwa kuficha ukweli. Dawa ni sisi kwa pamoja kuinuka na kuisusia TV yenu ya ki CCM ili muendelee vema kukinadi chama chenu.
Alieanzisha hakuanzisha ili asikilize na mkewe,itv ipo kwa watu wote na ile superbrand ilipata kwa sababu ilikubalika kwa watu wengi,watu hao ndio hawa wanaotoa mapendekezo yao kwenye channel waliokuwa wanaikubali,hilo TBC hata competing na channel 10 haliwezi.kwani itv imekosea wapi?HAMLALAMIKI Kituo kinachoendeshwa kwa kodi zenu TBC hakijawapasha habari,mnahangaikia tv zingine......shame on you
Kwani paka leo mnatizama Habari za ITV? Mkitaka habarizauhakika angalieni Star TV na sio TV nyingine yeyote ila
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Dogo acha kutisha watu wewe,matusi kwani nani ambae hajazaliwa hapa unampiga biti,jibu hoja usilete u-coward,kama wewe mbabe mtafute live..Think twice, usitafute matusi ndugu, rekebisha kauli yako kwani nakuheshimu sana
Think twice, usitafute matusi ndugu, rekebisha kauli yako kwani nakuheshimu sana
Mnalazimishwa kurudisha enzi za giza kwa kulipa mafisadi hisani ili mpate favour bila kujua sisi ndo wateja wenu na tunahitaji ninyi kuwa neutral acheni ujinga. Mnadanganywa kuficha habari eti KWA MUSTAKABHALI WA AMANI YA NCHI" do you think amani inatafutwa hivyo au ni yale yale ya kujilambisha miguu ya CCM?
Nilishaachana na TBC na sasa naachana rasmi na ITV waliberali wakubwa na niaanza rasmi kuiangalia Star TV
Angekufa Mwigulu Nchemba au Nape najua ndo mngejikomba kufanya coverage kwa sababu waliwalipia mahari siyo?