Akiwaskia mnamwita Sharobalo mtauona moto wake; Huyo Enzi zile tunamwita MSELA NONDO! Enzi za kuvaa "tafu buti" ndefu imechanua ulimi, Jeans kubwa juu chini imetait, Dogidogi imefngwa kishkizo kimoja cha juu tu; bila kusahau leso inaning'inia mfuko wa Nyuma. Dogo ni "G"! Siyo watoto wa siku hizi "walaiiini" akiguswa tu "anageuza mgongo"! aaaaaaaaaaaaaaaargh!