Shalobaro wa Ukweli

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,595
Points
1,250

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,595 1,250
View attachment 37164

Huyu dogo kama ni ushalobaro kazidi....

Huo mwendo ananikumbusha tukiwa watoto ilikuwa ukitoka kuangalia movie kali basi unatoka hapo na wewe unataka kufanya kama kina Rambo...Van Damme.... Solo.....

Hapo dogo natembea (slow) kama Rambo akisubiri bomu lilipuke...huenda anasema iyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wewe ukiwa mdogo ulikuwa unapenda movie gani??
 

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
824
Points
195

Criss

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
824 195
Mimi nilikua napenda American ninja 5 duuh!!
Dogo amenifurahisha vile alivyo vaa hicho kibarakatu chake kama ma mwinyi wa Bwagamoyoo.......hahahahaaaaaaa...
 

Forum statistics

Threads 1,392,464
Members 528,629
Posts 34,109,968
Top