Shalobaro wa Ukweli

Shalobaro wa Ukweli

Huyo dogo ndoyo Mwanao nini!? jitahidi umpigishe pamba za ukweli mi binafsi amenchefua.
 
Dogo ni mgumu wa ukweli na sio shalubaro kama unavyosema
 
komano john, american ninja na movi yoyote aliyoacti michael didikoff ( jina lake nimechapia ila linatamkwa hivyo)
 
kitu Amercan Ninja bana... ile movie nikuwa naipenda sana!
 
mimi nilikua napenda american ninja 5 duuh!!
Dogo amenifurahisha vile alivyo vaa hicho kibarakatu chake kama ma mwinyi wa bwagamoyoo.......hahahahaaaaaaa...

we nawe na mkofia wako sharubalo kweli kweli. Bora dogo asiige nyendo zako kwani yeye sharubalo wa asilia.

Mie nilipenda sana komando john
 
kitu delta force commando,james bond 007 na zile picha kali za cynthia rothrock zilikuwa balaa.
 
mimi nilikuwa napenda 'sinema leo' maana pale kijijini kwetu kulikuwa hakuna umeme kwa hiyo hao jamaa wakija kutuonesha hatuna uchaguzi ni kuangalia na kuishangilia yoyote watakayoweka.
 
katakuwan kajamaa ka somalia haka ,hapo hakajala wiki
 
mimi nilikuwa napenda 'sinema leo' maana pale kijijini kwetu kulikuwa hakuna umeme kwa hiyo hao jamaa wakija kutuonesha hatuna uchaguzi ni kuangalia na kuishangilia yoyote watakayoweka.

hii ilikuwa inabore kimtindo... unafika mnataka kuangalia movie za Action wanaweka wanyama au hotuba za nyerere!!
 

mkuu mi nimeuliza ulipokuwa mdogo... yaani sura yako ya mzee hivyo unataka kujidai mtoto....hiyo "ROTF" Revenge Of The Fallen si ni movie ya 2009?
 
Back
Top Bottom