Shalobaro wa Ukweli

Daaa leo nimecheka mpaka basi kwa kweli maana dogo bado mdogo sana, je hivyo vitu amefanya mwenyewe au vipi?hata kama kufundishwa lakini huyo kiboko.........
 
Akiwaskia mnamwita Sharobalo mtauona moto wake; Huyo Enzi zile tunamwita MSELA NONDO! Enzi za kuvaa "tafu buti" ndefu imechanua ulimi, Jeans kubwa juu chini imetait, Dogidogi imefngwa kishkizo kimoja cha juu tu; bila kusahau leso inaning'inia mfuko wa Nyuma. Dogo ni "G"! Siyo watoto wa siku hizi "walaiiini" akiguswa tu "anageuza mgongo"! aaaaaaaaaaaaaaaargh!
 
mimi nilikua napenda kitu cha no reat reat no surrender na kitu cha commando
 
teh te hteh the in Schwarzenegger Commando!! unamkumbuka yule black (massawe...)
aaaaahahahaaaa mwanangu umenikumbusha mbali kinoma yani...! jamaa alivyokua anaingia kwenye rum anamuita... hey stanley.. stanley halafu kumbe anord kajificha nyuma ya mlango anamgusa jamaa alivyogeuka alipewa kitu cha kufa mtu....! aaaaahaaa masawee hahahaha..!
 
Akiwaskia mnamwita Sharobalo mtauona moto wake; Huyo Enzi zile tunamwita MSELA NONDO! Enzi za kuvaa "tafu buti" ndefu imechanua ulimi, Jeans kubwa juu chini imetait, Dogidogi imefngwa kishkizo kimoja cha juu tu; bila kusahau leso inaning'inia mfuko wa Nyuma. Dogo ni "G"! Siyo watoto wa siku hizi "walaiiini" akiguswa tu "anageuza mgongo"! aaaaaaaaaaaaaaaargh!

mkuu nakubaliana na wewe huyu dogo ni mgumu... huyu hata akienda shule mzazi unakuwa na uhakiha kuwa mtoto haonewi.....yaani ni full kutoa kibano kwa wenzake!!
 
Km ndo movie lmeisha hv, bwana shoko sugi anarejea hom kwa mbwembwe niaje..
 
Dah nimecheka sana, ili jukwaa lina mambo sana, umenimbusha longi kinoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom