Shaking up some old memories

Shaking up some old memories

Usijidanganye mkuu....moto upo,rejea Kwenye volkano vizuri utapata majibu..

Hakuna kilicholetwa duniani kwa bahati mbaya...
acha Uongo Kuna watu tumezaliwa kwa bahati Mbaya....Until now sielewi dhumuni kuu la kuepo hapa duniani zaida ya kuteseka na maisha
They Say better days are comin
But There's some Cholo die without see that better days
Totally in my perception Life Is Meaningless
There's no Importante thing with it
life always sucks
 
Pole sanaa mkuu..

Tough time is for everyone.... and never last but though people do...

Start your day by changing your perception from negatively to positively...A man become what he thinks about most of time..

Change your mind change your life..

Remember that...you are only the one who creat your own reality.

In your subconscious mind is a place where your reality born...

KAMWE MUNGU HAWEZI BADILI MAISHA YAKO KAMA WEWE MWENYEWE HUTAKI KUBADILIKA...MUNGU HANA SIFA YA KUTEGEWA.
 
Kwangu Mungu namuona kama alishamaliza kazi yake na kuacha system ijiendeshe! Simfikirii kama ni kiumbe cha miujiza! Kwamba ukivunjika mguu basi unaweza muomba na akakutibu ndani ya sekunde moja!.. yeye kila kitu alishahifadhi kwenye ubongo wetu na nature system na ktk hili ninapata tumaini ya kuwa huenda tukiangalia mazingira na kila kitu tutajua sifa za Mungu kuliko kusikiliza hadithi za kale!.. fikiri ktk zile nyumba na vitabu ati imeandikwa kuwa anaponya lkn kaangalie wagonjwa wengi wapo kwenye hizo nyumba au ktk hospitali..? Utagundua wagonjwa wengi wapo hospitali!.. tumeshapewa kila kitu kuanzia muda,akili,miti,chakula na hewa n.k tusitegemee muujiza bwana yule Kesha maliza kazi yake na hakuna cha muujiza system itajiendesha na huo ndio ukweli mchungu.
Genius
 
Maisha ya ufukara mbaya na tabu nyingi sana pia.
Nimemiss maisha yale tuliyokulia (eneo letu) obvious watu wengi tumekulia mazingira haya kutoa vijana wa dar.
Unawezakuta huyo dogo mlangoni ndio mtoto wa kwaza analinda wadogo zake na nyumba hapo. Unakuta wakienda kucheza wanakua wanaenda kwa zamu zamu kuagali nyumba kama ipo salama..mama yupo zake sokoni kuuza mihogo aliyoichimba asubuhi au yupo kulima vibarua huko
View attachment 1603164
 
Kweli maisha ni Safari ndefu,Mungu azidi kuwabariki wazazi waliotulea kwa maumivu mengi.nasi tuwe wazazi wema
 
Ila maisha ya zamani yalikuwa ya kibabe sana,tulikuwa tunachapana sana mikono aisee
 
Ugali unasongewa chini( bila Moto) hii imekaaje wadau? Mimi ugali nasonga kwenye Moto nwanzo mwisho.
Ugali wa mhogo unaweza kupika hata ukiweka sufuria chini, kwamaana wenyewe hauhitaji moto mwingi kama ulivo wa mahindi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom