Hahahahaaaaa, nimegundua kwanini walimu wakiwa viongozi huwa na roho mbaya kweli kweli.Amakweli walimu wametoka mbali sana aiseeeee.....View attachment 1603194
Kule Katoto Tele WamejaaNawajua wa mpakani tu Huko manyovu, naona watu wa mikoani wanawapapatikia sana wanyarwanda wakati huku wamejaa wanakosa hata wa kuwaoa
Napenda sana kuwaambia watoto wangu kwamba.....Ahsante kwa clarification mkuu, basi naamini kumbe siku moja naweza kua someone kwenye nchi hii.
Angalau unaanza kunielewa mdogo mdogo [emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mada nilianzisha jumatatu wakaipiga pini, nikairudisha nikala ba ya siku 4 ikabidi niwe mpole asee. Hata mm siamini kaa kuna kuvhomwa moto, ila naamini kuna ufufuko kwa wale waliotenda mema ambao hakutenda yapasayo labda watafutwa existence yao. Kama mm siwezi kuchoma mdudu anayetambaa kwenye moto vipi kuhusu kuchoma mwanangu ninayempenda?? Yahitaji uwe na roho mbaya sana
Kweli sana mkuu..we don't know what tommorow will bring. Kwakweli tuwe makini na hii mitandao (jf) juu ya tunavyoposti. Inaweza tokea zali ukapata dili la heshima afu wanagundua id yako humu umetumia kupost comments za kula kimasihara basi umeisha. Nilijifunza mengi kwa yaliyokua yanampata jokate..Napenda sana kuwaambia watoto wangu kwamba.....
Wanapaswa kuishi kwa nidhamu sana, pia wanapaswa kuishi kwa kuheshimiana sikuzote. Na sababu ni kwamba, hakuna mwenye anafahamu kwamba nani atakua nani kesho.
Wakati mwingine nawaambia kwamba hata hawa vichaa tunao waona leo kitaa, pia wakati wa utoto wao walikua na ndoto zao kua watu flani wenye hadhi/heshma.
Hakuna mzazi aliyewahi kupanga kua na mtoto kichaa, mwizi, masikini, mlevi nk...😪😪
Wachache wanaweza kuelewa hilo na ndio maana mimi nikiambiwa hayo huwa nasema Mungu huyo walienitajia anasifa ya wema na ubaya!.. Kuna vitu vinafutikwafutikwa tu lkn ukichimba na kufikiri kiundani utaanza kuona ktk utofauti kabisa.. Nina mashaka makubwa Sana juu ya namna watu tunavyofundishwa kuhusu Mungu!.. na hii inanifanya hata nipate mashaka na kuona Kuna watu wanajtumia dhana ya Umungu kutawala wengine na kujipatia vitu fulani.. wapo wengine humpigania hadi Mungu! Hawa ndio huwa wananisikitisha! Mungu akidhahakiwa anatakiwa aonyeshe uwezo wake mwenyewe kwa kiumbe hicho kilichomdhihaki.. binafsi siwezi kukipigania kile ninachoambiwa kuwa kinauwezo wa kila kitu nawakati mimi nikiugua tu hata maleria nateseka how come nishike mtutu nipiganie kilichoumba jua,sayari na madude makubwa makubwa! Yeye ndo anatakiwa anipiganie Mimi ntapigania vile vinavyonihusu tu!... Ipo haja ya watu kutuluza vichwa juu ya mambo ya Mungu, alasivyo Kuna shida kubwa itakuja tokea.Kuna mada nilianzisha jumatatu wakaipiga pini, nikairudisha nikala ba ya siku 4 ikabidi niwe mpole asee. Hata mm siamini kaa kuna kuvhomwa moto, ila naamini kuna ufufuko kwa wale waliotenda mema ambao hakutenda yapasayo labda watafutwa existence yao. Kama mm siwezi kuchoma mdudu anayetambaa kwenye moto vipi kuhusu kuchoma mwanangu ninayempenda?? Yahitaji uwe na roho mbaya sana
Una hoja ila ni ngumu sana kuwabadiri waumini msimao wao. Mda yenyewe hii hapaWachache wanaweza kuelewa hilo na ndio maana mimi nikiambiwa hayo huwa nasema Mungu huyo walienitajia anasifa ya wema na ubaya!.. Kuna vitu vinafutikwafutikwa tu lkn ukichimba na kufikiri kiundani utaanza kuona ktk utofauti kabisa.. Nina mashaka makubwa Sana juu ya namna watu tunavyofundishwa kuhusu Mungu!.. na hii inanifanya hata nipate mashaka na kuona Kuna watu wanajtumia dhana ya Umungu kutawala wengine na kujipatia vitu fulani.. wapo wengine humpigania hadi Mungu! Hawa ndio huwa wananisikitisha! Mungu akidhahakiwa anatakiwa aonyeshe uwezo wake mwenyewe kwa kiumbe hicho kilichomdhihaki.. binafsi siwezi kukipigania kile ninachoambiwa kuwa kinauwezo wa kila kitu nawakati mimi nikiugua tu hata maleria nateseka how come nishike mtutu nipiganie kilichoumba jua,sayari na madude makubwa makubwa! Yeye ndo anatakiwa anipiganie Mimi ntapigania vile vinavyonihusu tu!... Ipo haja ya watu kutuluza vichwa juu ya mambo ya Mungu, alasivyo Kuna shida kubwa itakuja tokea.
2 Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.
3 Akawatuma watumwa wake wawaite walioalikwa kuja arusini; nao wakakataa kuja.
4 Akatuma tena watu kwa wengine, akisema, Waambieni wale walioalikwa, Tazameni, nimeandaa karamu yangu; ng?ombe zangu na vinono vimekwisha kuchinjwa, na vyote vimekuwa tayari, njoni arusini.
5 Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake;
6 nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawatenda jeuri, na kuwaua.
7 Basi yule mfalme akaghadhibika; akapeleka majeshi yake, akawaangamiza wauaji wale, akauteketeza mji wao.
8 Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.
9 Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini.
10 Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni.
Ha ha! Na ndio maana binafsi naona anautofauti mkubwa sana na vile inavyofundishika! Hapa tunaweza semwa tunakufuru ukihoji hivi utaambiwa unakufuru but nachoshangaa huyo anaekufuriwa kwanini hakuweka limitation za kufikiri..?Hapa umefikili kama mm nilivyowahi eleza kwenye mada moja, Unadhani Mungu bado anaumba tu au ashaweka system au anatenda kazi kwa kila ombi moja liombwalo..naamini kuna system ishawekwa anaendesha tu
Hilo tu mkuu lipo jengine juu ya ubaya wa shetani.. ukiwauliza wanakubali kabisa kuwa Mungu ni chanzo cha kila kitu ila ukiwaambia kwa mantiki hiyo basi Mungu ni chanzo cha dhambi pia wanapinga.! Basi Kama pia Mungu hana tabia ya ubaya au dhambi basi Kuna vitu havijui vinatoka wapi!.. hivyo hii inamuondolea sifa ya ujuzi wa yote na pia Kama shetani dhambi ilianzia kwake Basi Mungu si chanzo cha kila kitu!.. wanaona tabu kusema kuwa Mungu kaegamia upande fulani na wanaona watampunguzia sifa ikiwa watasema si mjuzi wa yote,si chanzo cha yote n.k hapa watakuja kusema Mungu hapangiwi ukiileta ile hoja ya uwezo wake juu ya kutengeneza jiwe analoweza kulibeba na asiweze kulibeba Kama yeye ni muweza wa yote..!Una hoja ila ni ngumu sana kuwabadiri waumini msimao wao. Mda yenyewe hii hapa
..
View attachment 1596926
Habari, leo kwa mujibu wa kalenda ya katoliki kilitrujia ni Dominika ya 28 mwaka A. Masomo yanayosomwa dominika hii yanahusu "Mwaliko wa kushiriki karamu ya uzima wa milele ni kwa wote. Nasi kwa ubatizo tulipewa mwaliko huu. Ni mwaliko wa kuwa raia wa ufalme wa Mungu na kushiriki furaha za mbinguni. Lakini kwa kuwa Mungu amemjalia kila mmoja uhuru na utashi kamili. Vazi jeupe wakati wa Ubatizo liliashiria neema ya utakaso unaopaswa kudumishwa kwa Sakramenti za kanisa, Neno na Matendo adili"
Injili imesomwa kutoka Mathayo 22 ambayo inasma..
Hao walioalikwa Arusini wakakataa kuja na wakawatenda watumwa wa mfaleme huyu kwa kiburi kwa uelewa wangu najua ni Wana wa Ibrahim Isaka na Yakobo (Israel), hao waliokusanywa kutoka barabarani na na njiapanda ndio SISI non Israelites al maarufu kama Watu wa mataifa...Hilo eneo la kuwakusanya watu barabarani baadae Yesu alilikazia kabisa kwa kuwaambia kama inavyoelezwa kwenye Mathayo 28 kua Enendeni duniani kote mkawafanye mataifa kua wanafunzi wangu..
Sasa dukuduku langu liko hapa, kama Hao walioalikwa (Waisrael) wangekubali kumpokea Mungu (kusikiliza watumwa wa mfalme ambao ni Manabii na mitume wa Mungu) Je nini kingetokea kwetu? Hatima yetu sisi watu tuliokusanywa njiapanda na barabarani ingekuaje??
Kwakweli wakati wa mahubiri nilijikuta nataka kutoka relini kwa kutafakari hayo maswali hapo juu kutokana na somo la leo..mpaka Sasa nimebaki kwenye suspens. Natumaini wataalamu wa maandiko mpo mtasaidia!
Mods msipeleke jukwaa la dini
Daaah long time sana hii mkuu
Dah! Sasa hii tuite nini..? Si bora maji ya kisima sasa! Hapa nafikiri Bomba lipo kwenye utengenezaji bado kwani haya hata ng'ombe hanywi..
Kama umeanza kuamini Mungu hatatuchoma Moto basi unaelekea kuja mwelekeo wanguWewe mbishi tu nimekueleza mengi ila hutaki kuacha msimamo wako..
Sina dukuduku mpendwa...nitaendelea kuwa hivi hivi hadi hapo Mungu mwenyewe atakapokuja na majibu ya maswali yangu. [emoji3][emoji3][emoji3] Mi mbishi niache tuHapana wewe umezidi mwelekeo wako mbaya. Una dukuduku gani nilifungulie uzi
Nataka nimuone yeye, nyie hamna majibu ya kuridhisha tutaendelea kubishanaSasa Mungu si anakupa majibu kwa kupitia mm lovie