Shaking up some old memories

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,626
106,588
Nimemiss maisha yale tuliyokulia (eneo letu) obvious watu wengi tumekulia mazingira haya kutoa vijana wa dar.
Unawezakuta huyo dogo mlangoni ndio mtoto wa kwaza analinda wadogo zake na nyumba hapo. Unakuta wakienda kucheza wanakua wanaenda kwa zamu zamu kuagali nyumba kama ipo salama..mama yupo zake sokoni kuuza mihogo aliyoichimba asubuhi au yupo kulima vibarua huko
FB_IMG_16029417446007300.jpg
 
Hapo Madre alikua anapenda kuimba wimbo wa "mke mwema nani atakae mwona huku anaendelea kutungwa kudu kudu..Au anaimba ule woimbo wa Samsoni na delilah "tafadhali niambie asili ya nguvu zako😘😘 mm niko pembeni Tunatoka mbaali
FB_IMG_16023273763791954.jpg
FB_IMG_16029448808876408.jpg
 
Imagine watu hawa wameishi katika maisha haya magumu halafu bado tena anafikia motoni Jamani.. Daah
View attachment 1603166
Hakuna Moto ndugu ukishakufa ndo imetoka hiyo.. ni kama vile kabla hujazaliwa hukuwepo na ufahamu wako haukuwa tambuzi!
Hofu yetu inazaliwa pale tunapokosa majibu ya kile ambacho hatukijui!.. baadhi ya vitu kwenye ulimwengu huu bado vimeendelea kuwa siri!,na chaajabu sio kwamba vimefichwa no! Vipo wazi isipokuwa inahitaji nguvu ya akili na mwili ili tuvifumbue!.

Huenda ukawepo ulimwengu wa kiroho ila sivyo ulivyo kama wengi wanavyodhania!.. hakuna aliekuuliza wewe kuwa hai na huenda hata ukiwauliza waliokuzaa hawana sababu ya msingi ya kukujibu ya kwanini walikuzaa! Japo wengi huona kama ni kufuru swali hilo ila linamantiki!.. Mara nyingi penye kiza ndipo hujihifadhi siri!.. Nina mengi ngoja niweke dot.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom