Shaking up some old memories

Shaking up some old memories

Hakuna Moto ndugu ukishakufa ndo imetoka hiyo.. ni kama vile kabla hujazaliwa hukuwepo na ufahamu wako haukuwa tambuzi!
Hofu yetu inazaliwa pale tunapokosa majibu ya kile ambacho hatukijui!.. baadhi ya vitu kwenye ulimwengu huu bado vimeendelea kuwa siri!,na chaajabu sio kwamba vimefichwa no! Vipo wazi isipokuwa inahitaji nguvu ya akili na mwili ili tuvifumbue!.

Huenda ukawepo ulimwengu wa kiroho ila sivyo ulivyo kama wengi wanavyodhania!.. hakuna aliekuuliza wewe kuwa hai na huenda hata ukiwauliza waliokuzaa hawana sababu ya msingi ya kukujibu ya kwanini walikuzaa! Japo wengi huona kama ni kufuru swali hilo ila linamantiki!.. Mara nyingi penye kiza ndipo hujihifadhi siri!.. Nina mengi ngoja niweke dot.
Usijidanganye mkuu....moto upo,rejea Kwenye volkano vizuri utapata majibu..

Hakuna kilicholetwa duniani kwa bahati mbaya...
 
Dogo wa hivi akija dar lazima awe bahili hatari, sio kwamba anapenda ila anajua alipotoka maisha yalivyo so anathamini Every penny he get
View attachment 1603185
Hiyo inatukumbusha siku za Jumamosi na Jumapili ambazo tulikuwa hatwendi shule hivyo ilikuwa lazima kwenda shambani na kusaidia Wazee kulima. Jambo lililonivutia ni kila mtu kupimiwa eneo la kulima, na hakuna kuondoka mpaka umalize plot yako 🙌
 
Hatari sana, sijui kwanini hawa viumbe wanaitwa dhaifu?.
Udhaifu wao unakuja kwenye reasoning and decision, huwa wanatumia hisia sana kwenye kufanya maamuzi , ukilinganisha na wanaume ambao huwa tuna fanya maamuzi bila ya kuweka hisia.

Tukienda kimwili wanawake wana misuli mingi eneo la chini yaani chini ya tumbo wana misuli mingi kuliko juu ,hii ni ili iwasaidie katika kazi kubwa watakayoifanya (kubeba mimba watoto pamoja na watu wazima [emoji16]) , ulilinganisha na sisi wanaume ambao juu tumeumbika kwa misuli mingi kuliko chini hii ni ili tufanye kazi za nguvu, kubwa hence umbo la cone .

Hope umepata angalau mwanga wa udhaifu wao.
 
Kuna mada nilianzisha jumatatu wakaipiga pini, nikairudisha nikala ba ya siku 4 ikabidi niwe mpole asee. Hata mm siamini kaa kuna kuvhomwa moto, ila naamini kuna ufufuko kwa wale waliotenda mema ambao hakutenda yapasayo labda watafutwa existence yao. Kama mm siwezi kuchoma mdudu anayetambaa kwenye moto vipi kuhusu kuchoma mwanangu ninayempenda?? Yahitaji uwe na roho mbaya sana
Sasa subiri ujionee[emoji4][emoji4]

Sent from my MRD-LX1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom