Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,671
- 76,761
Kule Uvinza Kuna Eneo Ukitoka Mpeta Kabla Ya Daraja La Kikwete, Ipo Sehemu Inaitwa Kitongoji Kijiji Kinaitwa KatotoDogo wa hivi akija dar lazima awe bahili hatari, sio kwamba anapenda ila anajua alipotoka maisha yalivyo so anathamini Every penny he get
View attachment 1603185
Kuna Wanyarwanda Tupu Na Kazi Yao Kufuga Na Bhudyohe 😁😂