Shaka: TFS mkimaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa itatoka wapi?

Watanzani wamekuelewa
 
Tangu lini CCM ikawa na huruma ukiona hivyo ujue kuna kitu wanaomba!!
 
Tangu lini CCM ikawa na huruma ukiona hivyo ujue kuna kitu wanaomba!!
CCM imekuhurumia mara ngapi wewe hata kuandika kwako comment ni CCM iliyokupa elimu,
Sijawahi kupata elimu ya ccm katika maisha yangu na sitaipata mbwa wewe!!
 
Shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…